Mkikuyu- Akili timamu
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 4,310
- 7,465
Kenyatta amemaliza kupima kirusi watu wa Eastleigh? Ama lazima atie pua magufuli land..Shughuli ya kupima 'Wageni' bado inaendelea hadi dakika hii na hakubaliwi mtu yeyote kuingia nchini Kenya kama hajapimwa au akipatikana +ve baada ya kupimwa.
Wewe unawaza ligi za kucheza kidalipo na virusi vya Corona wakati GOK inajibu vilio vya wakazi wa Kipase, Meto, Loitoktok na Namanga ndani ya gatuzi jirani na Longido, Kajiado. Ambao wanaitaka serikali yao iongeze ulinzi sehemu zote mipakani ili kuzuia majirani zao kuingia nchini Kenya. Kajiado residents concerned about illegal entry at border – Kenya News Agency
Hamfahamu huyu Mzee wa chato, Mtamuelewa tu..Kabudi bado amekomalia pale pale..Wiki Moja amalize shughuli za Sisiemu