joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Ndio sababu tunasema kila watu wabaki kwao tusitembeleane, kwanini mnalalamika mnataka tutembeleane?. Sisi hatutaki habari ya kupima, sisi tunataka kila watu wabaki kwao.Hapo awali kabla Kenya haijafunga mpaka na hamjajibu kwa kuwazuia madereva wa Kenya kuingia mlikuwa mmewapima wangapi kwenye boda? Wakenya au hata watanzania waliokuwa wanarudi kutoka Kenya, sufuri. Hata watanzania tu ambao wanapatikana +ve na kukatazwa kuingia Kenya hamuwapeleki quarantine wala isolation. Alafu baadaye utasikia Tz ni mfano wa kuigwa kwenye kupambana na maambukizi ya Corona. 😀 Kisha mkiitwa kichwa cha mwendawazimu mnaanza kucatch mafeelings. [emoji1] Bure kabisa!
Sent using Jamii Forums mobile app