Maabara (Mobile Lab.) ya Namanga Boda yawasili nchini Kenya kutoka Ujerumani

Ndio sababu tunasema kila watu wabaki kwao tusitembeleane, kwanini mnalalamika mnataka tutembeleane?. Sisi hatutaki habari ya kupima, sisi tunataka kila watu wabaki kwao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya...Hizo story zote, vilio na michanganyiko ya kiakili mumueleze huyu bwana baada ya wiki moja. Kumbuka yeye ndiye aliyekuwa mgeni wa heshima mlipo kopi pasti katiba ya Nyerere mkaita sijui #Handshake #BBI.
Wala Msimsumbue na uboya mwingi, ama awapatie lecture nyingine kama alivyo fanya hapo nairobi
 
Wanataka kuonyesha Dunia kuwa Covid-19 inatoka TZ wakati sasa hivi huko Marsabit county watu wanatest poitiveπŸ™‚
Wakenya hawataki kusikia habari za kufungiana mipaka, wao wanachojitahidi ni kuhakikisha mipaka inakua wazi, muhimu kwao ni kupima. Tanzania tunataka mipaka ifungwe ili tujue nani ni kidume. Hahahaha, hahahaha.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujielewi nadhani unanjaa ,unaleta habari ya jana kwani maagizo aliyotoa Rais Magufuli tayari washakaa mezani ?ngoja wakishakutana wakuu wenu na wetu halafu mutaona Kama watanzania watapimwa kwenu tutarudi hapa Kama hamjaukimbia uzi
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kipimo kimebaki pale pale, hamna kuingia kwa kung'ang'anizia.
 
Hiyo mehemko yaKo ilaabwana zako waliokaa kikao Cha zaidi ya masaa 5 hawajasema vivyo njoo haipendezi mtu Kama shati hapo umeshashiba chakula Cha watanzania halafu unaleta jeuri ,najua ukweli unaujua Ila unaona haibu kwa serikali yako ilivyokubali kupangiwa mashart na [emoji1241]na kuyakubali yote ila usiuzunike bwana mdogo tatizo Kuna kitu ujajua bado ili ukitaka kujua nitakufundisha dogo
Kipimo kimebaki pale pale, hamna kuingia kwa kung'ang'anizia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…