Habari
wana jamvi kuna dogo ameniachia hii kazi ya kumwangalizia CAS yake yeye ameenda Jeshi Batch ya Pili JKT sasa leo nime LOGIN kuangalia kama kuna chochote pengine nimeangalia kwenye Profile lake la selection kuna sehemu ya mwisho imeandukwa # Met Min
Requirement # kuna baadhi ya kozi kati ya alizojaza zinaanda NO na Baadhi zimeandika YES!!
Wadau hapo inamaana gani je inatakiwa kubadilisha au ni nini hasa?
Msaada niweze kumsaidia huyu Dogo alieenda JKT Mgambo!!
Shukrani
hapo it means ana asilimia kubwa kupata kwenye zile kozi alizoandikiwa 'yes' ila kwa alizoandikiwa 'no' ni ngumu kupata! NB. deadlne imeishaa cdhan kama unaweza kubadilisha! Bt all in all ni kozi ngap amewekewa 'no' na ni choice za ngap?
ndugu kama ameandikiwa no kwenye selection zake tafuta tcu guide book then angalia faculty ambayo inakubaliana na cutt-off point zake n remember kubadilisha moja ni kuanza application upya xo unaandika zote upya na muda upo xo do it faster