Maada kuhusu TCU upande wa CAS

Maada kuhusu TCU upande wa CAS

CompaQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2012
Posts
281
Reaction score
134
Habari
wana jamvi kuna dogo ameniachia hii kazi ya kumwangalizia CAS yake yeye ameenda Jeshi Batch ya Pili JKT sasa leo nime LOGIN kuangalia kama kuna chochote pengine nimeangalia kwenye Profile lake la selection kuna sehemu ya mwisho imeandukwa # Met Min
Requirement # kuna baadhi ya kozi kati ya alizojaza zinaanda NO na Baadhi zimeandika YES!!
Wadau hapo inamaana gani je inatakiwa kubadilisha au ni nini hasa?
Msaada niweze kumsaidia huyu Dogo alieenda JKT Mgambo!!
Shukrani
 
hapo it means ana asilimia kubwa kupata kwenye zile kozi alizoandikiwa 'yes' ila kwa alizoandikiwa 'no' ni ngumu kupata! NB. deadlne imeishaa cdhan kama unaweza kubadilisha! Bt all in all ni kozi ngap amewekewa 'no' na ni choice za ngap?
 
Maanake ni kwamba zenye NO hana sifa ya kuisoma kozi husika na YES ana sifa.
 
hapo it means ana asilimia kubwa kupata kwenye zile kozi alizoandikiwa 'yes' ila kwa alizoandikiwa 'no' ni ngumu kupata! NB. deadlne imeishaa cdhan kama unaweza kubadilisha! Bt all in all ni kozi ngap amewekewa 'no' na ni choice za ngap?

Kaka ni choice ya tatu iko YES Imesema!!
So haiwezi kani kubadilisha kwa maana hiyo?
 
ndugu kama ameandikiwa no kwenye selection zake tafuta tcu guide book then angalia faculty ambayo inakubaliana na cutt-off point zake n remember kubadilisha moja ni kuanza application upya xo unaandika zote upya na muda upo xo do it faster
 
mbona wamefunga application?
 
ndugu kama ameandikiwa no kwenye selection zake tafuta tcu guide book then angalia faculty ambayo inakubaliana na cutt-off point zake n remember kubadilisha moja ni kuanza application upya xo unaandika zote upya na muda upo xo do it faster

mbona wamefunga application tcu!
 
kuna muda TCU watatoa kwa ajiri ya kubadilisha kozi... penda kutembelea web yao everyday
overr....
 
Back
Top Bottom