CompaQ
JF-Expert Member
- Dec 31, 2012
- 281
- 134
Habari
wana jamvi kuna dogo ameniachia hii kazi ya kumwangalizia CAS yake yeye ameenda Jeshi Batch ya Pili JKT sasa leo nime LOGIN kuangalia kama kuna chochote pengine nimeangalia kwenye Profile lake la selection kuna sehemu ya mwisho imeandukwa # Met Min
Requirement # kuna baadhi ya kozi kati ya alizojaza zinaanda NO na Baadhi zimeandika YES!!
Wadau hapo inamaana gani je inatakiwa kubadilisha au ni nini hasa?
Msaada niweze kumsaidia huyu Dogo alieenda JKT Mgambo!!
Shukrani