Maadhimisho ya siku ya ziwa victoria ni aibu kwa CCM na viongozi wake kwa ujumla

Maadhimisho ya siku ya ziwa victoria ni aibu kwa CCM na viongozi wake kwa ujumla

Think2

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2025
Posts
3,087
Reaction score
6,024
Leo ilikuwa siku ya maadhimisho ya ziwa Victoria cha ajabu wananci wa jiji la mwanza wamesusia maadhimisho hayo kulikuwa hakuna watu kabisa

Waliokuwepo ni waalimu(hawa ndio watu wajinga zaidi Tanzania) na wanafunzi wao tu tena wamesafirishwa kutoka maeneo mbalimbali ya jiji kuja nyamhongolo kusikila hotuba ya waziri nchemba 😂

Sasa wwanasomba watoto wa form 1 hadi form 4 waje kusikila nini ? Wao wanajua kucheza mziki tu hakuna lolote

Pia kulikuwa na wafanyakazi wa serikali
Nikiwa na maana ya kwamba wananchi wa kawaida walikuwa wachache mno tena wengi mtoto tu kushangaa magari tu

Polisi na migqmbo ndio walikuwa wanachi 😂

CCM mmeyatimba chama cheng bila kusafirisha watu na kuwalipa hamjazi basi
Mwisho, CCM na serikali hamkubaliki tena msiforce mambo
Kujiamulia mambo tu
20260518_172058890.jpg
20260518_170927621.jpg
20260518_170921235.jpg
20260518_170910807.jpg
20260518_170913056.jpg

Hawa ni wanafunzi wamesafirishwa kutoka maeneo mbalimbali ya jiji kuja kusikiliza 😂
 

Attachments

  • 20260518_170916942.jpg
    20260518_170916942.jpg
    560.7 KB · Views: 20
Wakifanya mikutano afu hawana watu na chadema nyomi kama lote wanatamani kuteka chadema nzima. Ni swala mda tu mambo yatanyooka.
 
Leo ilikuwa siku ya maadhimisho ya ziwa Victoria cha ajabu wananci wa jiji la mwanza wamesusia maadhimisho hayo kulikuwa hakuna watu kabisa

Waliokuwepo ni waalimu(hawa ndio watu wajinga zaidi Tanzania) na wanafunzi wao tu tena wamesafirishwa kutoka maeneo mbalimbali ya jiji kuja nyamhongolo kusikila hotuba ya waziri nchemba 😂

Sasa wwanasomba watoto wa form 1 hadi form 4 waje kusikila nini ? Wao wanajua kucheza mziki tu hakuna lolote

Pia kulikuwa na wafanyakazi wa serikali
Nikiwa na maana ya kwamba wananchi wa kawaida walikuwa wachache mno tena wengi mtoto tu kushangaa magari tu

Polisi na migqmbo ndio walikuwa wanachi 😂

CCM mmeyatimba chama cheng bila kusafirisha watu na kuwalipa hamjazi basi
Mwisho, CCM na serikali hamkubaliki tena msiforce mambo
Kujiamulia mambo tuView attachment 3590858View attachment 3590859View attachment 3590860View attachment 3590861View attachment 3590864
Hawa ni wanafunzi wamesafirishwa kutoka maeneo mbalimbali ya jiji kuja kusikiliza 😂
Duuh..acha basi mkuu...mi nipo hapa igoma near kabisa na nyamhongolo hapo nisijue kuwa nchemba alikuwa hapo?basi hawa watu washapotea kabisa kweny raman ya siasa...hamasa iko chini sanaa
 
Duuh..acha basi mkuu...mi nipo hapa igoma near kabisa na nyamhongolo hapo nisijue kuwa nchemba alikuwa hapo?basi hawa watu washapotea kabisa kweny raman ya siasa...hamasa iko chini sanaa
Bango limewekwa nyamhongolo stand mkuu 😂
 
1. Serikali iko busy kukamata wavuvi haramu lakini haina muda wa kupiga marufuku jamii zinazoishi jirani na ziwa kutoogea ziwani........
Kaya nyingi za visiwani hawanaga vyoo wala mabafu....wanaoga na kujisaidia humohumo ziwani.

2. Serikali imeshindwa kuzuia mazao ya ziwani kuanikwa chini kwenye michanga, hasa dagaa.
Angalau wavuvi wa Bukoba wamestaarabika kidogo.
3. Jamii zinazoishi jirani na ziwa hazioni faida ya kuzungukwa na ziwa kwasababu samaki zenyewe siku hizi wanazinunua bei ileile na mikoa ya Singida, Iringa, Dodoma au Tabora.
4. Ni taswira mbaya sana kwa nchi ambayo raia wake wanakula mabaki ya samaki zilizoondolewa minofu viwadani...Na hata hayo mabaki sio kwamba wanayapata bure, wanauziwa na viwanda vya wahindi...
5. Serikali inayojali watu wake haiwezi kukubali watu wake washindane na wazungu kwenye soko lilelile, ni lazima mvuvi ata-opt kumuuzia mzungu kwa sababu hawa ni watu wawili tofauti kabisa.
Zamani ilikuwa ni sangara wa kg 3+ ndiye aliruhusiwa kwa ajiri ya export.
Huku samaki wengine kama Sato wakiachwq kwa ajiri ya local consumption...Lakini wote leo wanasafirishwa nje
 
Back
Top Bottom