Leo ilikuwa siku ya maadhimisho ya ziwa Victoria cha ajabu wananci wa jiji la mwanza wamesusia maadhimisho hayo kulikuwa hakuna watu kabisa
Waliokuwepo ni waalimu(hawa ndio watu wajinga zaidi Tanzania) na wanafunzi wao tu tena wamesafirishwa kutoka maeneo mbalimbali ya jiji kuja nyamhongolo kusikila hotuba ya waziri nchemba π
Sasa wwanasomba watoto wa form 1 hadi form 4 waje kusikila nini ? Wao wanajua kucheza mziki tu hakuna lolote
Pia kulikuwa na wafanyakazi wa serikali
Nikiwa na maana ya kwamba wananchi wa kawaida walikuwa wachache mno tena wengi mtoto tu kushangaa magari tu
Polisi na migqmbo ndio walikuwa wanachi π
CCM mmeyatimba chama cheng bila kusafirisha watu na kuwalipa hamjazi basi
Mwisho, CCM na serikali hamkubaliki tena msiforce mambo
Kujiamulia mambo tu
View attachment 3590858View attachment 3590859View attachment 3590860View attachment 3590861View attachment 3590864
Hawa ni wanafunzi wamesafirishwa kutoka maeneo mbalimbali ya jiji kuja kusikiliza π