Maadili ya Aziz Ki yanatia mashaka!

Maadili ya Aziz Ki yanatia mashaka!

yulemtoto sio riziki.anawatega kina lomalisa.

kabwili angekuwepo utopolo pangenuka mavi tuu
 
Na kaianza baada ya Kumtungua Kipa wetu Manula na ule Muwa wake ambao kiukweli hata Mimi niliupenda na hata Kipa Manula nae alisema asilaumiwe Yeye bali asifiwe aliyeupiga.
Hawa ndio watu msiojulikana jinsia zenu,si tunajua we mwanaume halafu unapenda muwa wa mwanaume mwingine!Tukisema unajidhalilisha tutakuwa tumekosea?
 
Muwa = shuti kali
Mnapenda kubadili mada
Kila akili yenu inawaza huo uchafu
Mnatamani hata mpate kuyaongelea hayo
Acheni tabia za kipumbavu
 
Hataki kuvaa bukta, mshoneeni kichupi[emoji3]
Hakika hao wachezaji wengine wananyanyua bukta mara chache sana na huenda mala moja au mbili tu yeye ni kila mechi anapandisha Bukta.

Wamshonee kichupi cha kijani basi.
Sheria za Jezi za mpila wa miguu inasema jezi itoshe mwote. Ndio maana timu ya nchi ya Kameruni ya ile ya kikawoshi ilizuiwa na FIFA.

Kuna shida flani kwa K.Azizi
 
Ashonewe Kichupi maana hataki Bukta kabisa.
Ashonewe kichupi cha kijani ili aridhike
 
Hawa ndio watu msiojulikana jinsia zenu,si tunajua we mwanaume halafu unapenda muwa wa mwanaume mwingine!Tukisema unajidhalilisha tutakuwa tumekosea?
Ukisikia mua usha waza ujinga! wanaume tumebaki wachache
 
Hakika hao wachezaji wengine wananyanyua bukta mara chache sana na huenda mala moja au mbili tu yeye ni kila mechi anapandisha Bukta.

Wamshonee kichupi cha kijani basi.
Sheria za Jezi za mpila wa miguu inasema jezi itoshe mwote. Ndio maana timu ya nchi ya Kameruni ya ile ya kikawoshi ilizuiwa na FIFA.

Kuna shida flani kwa K.Azizi
Nenda mahakamani basi
 
Back
Top Bottom