ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Wewe ni Riziki?Inasemekana jamaa sio riziki
Mtu akiwa punga anaona wengine wote ni kama yeye ni wazoee tu haoKwa ligi ninazofuatilia wachezaji wengi wanafanya hivyo. Kumbe hii ligi ya bongo mtu akifanya hivyo siyo ridhiki?
Sio yeye tu,viongozi wanahamasiha dada zetu wavae vichupi kisha wachomekee.Hii ni zaidi ya uhuni.View attachment 2767941
Hii tabia ya kupenda kuanika mapaja yake inatia mashaka sana kwenye uadilifu wake!!
Hawa ndio watu msiojulikana jinsia zenu,si tunajua we mwanaume halafu unapenda muwa wa mwanaume mwingine!Tukisema unajidhalilisha tutakuwa tumekosea?Na kaianza baada ya Kumtungua Kipa wetu Manula na ule Muwa wake ambao kiukweli hata Mimi niliupenda na hata Kipa Manula nae alisema asilaumiwe Yeye bali asifiwe aliyeupiga.
Muwa = shuti kaliHawa ndio watu msiojulikana jinsia zenu,si tunajua we mwanaume halafu unapenda muwa wa mwanaume mwingine!Tukisema unajidhalilisha tutakuwa tumekosea?
Hakika hao wachezaji wengine wananyanyua bukta mara chache sana na huenda mala moja au mbili tu yeye ni kila mechi anapandisha Bukta.Hataki kuvaa bukta, mshoneeni kichupi[emoji3]
Uadilifu uko mapajani?View attachment 2767941
Hii tabia ya kupenda kuanika mapaja yake inatia mashaka sana kwenye uadilifu wake!!
Hana tofauti na wanawake wanaochomekea madera yao kwenye chupi.🤔View attachment 2767941
Hii tabia ya kupenda kuanika mapaja yake inatia mashaka sana kwenye uadilifu wake!!
Wote hawana maadiliHakuna mashaka hadi alexis sanchez alikua hivo.
Hii ndo nyuma mwiko
Wewe ni ridhiki?yulemtoto sio riziki.anawatega kina lomalisa.
kabwili angekuwepo utopolo pangenuka mavi tuu
Ukisikia mua usha waza ujinga! wanaume tumebaki wachacheHawa ndio watu msiojulikana jinsia zenu,si tunajua we mwanaume halafu unapenda muwa wa mwanaume mwingine!Tukisema unajidhalilisha tutakuwa tumekosea?
Nenda mahakamani basiHakika hao wachezaji wengine wananyanyua bukta mara chache sana na huenda mala moja au mbili tu yeye ni kila mechi anapandisha Bukta.
Wamshonee kichupi cha kijani basi.
Sheria za Jezi za mpila wa miguu inasema jezi itoshe mwote. Ndio maana timu ya nchi ya Kameruni ya ile ya kikawoshi ilizuiwa na FIFA.
Kuna shida flani kwa K.Azizi