Maadili ya Aziz Ki yanatia mashaka!

View attachment 2767941
Hii tabia ya kupenda kuanika mapaja yake inatia mashaka sana kwenye uadilifu wake!!
Tayari umefikiria akili zako zinavyokutuma[emoji848]
Una akili za ovyo kijana, alikwisha ulizwa kuhusu kupandisha bukta na akajibu, wewe tayari kili zako zimeenda mbali, bado unasafari ndefu
Pole
 
mnakosa vitu vyakujadili hadi mnajadili upuuzi.
 
Nenda mahakamani basi
Mwambieni washabiki Waadilifu hawataki hiyo stairi yake ya uvaaji Bukta jezi.
Bernad Morrison aliachwa Simba baada ya kuonesha kichupi uwanjani baada ya ushindi.
Kwanini kila siku yeye ni kupandisha Bukta tu, kucheza vipaja nje.
 
Peleka malalamiko yako TFF
 
Mwambieni washabiki Waadilifu hawataki hiyo stairi yake ya uvaaji Bukta jezi.
Bernad Morrison aliachwa Simba baada ya kuonesha kichupi uwanjani baada ya ushindi.
Kwanini kila siku yeye ni kupandisha Bukta tu, kucheza vipaja nje.
Biashara matangazo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…