Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Maadili ya Uchaguzi ya mwaka 2020 inaeleza matukio ya ukiukwaji wa maadili ya Uchaguzi kuwa pamoja na kutoa Lugha ya matusi na kashfa pia kutoa kauli zisizoweza kuthibitika.
Pia ni kosa kimaadili kubandika picha ya mgombea juu ya picha ya mgombea mwingine, vurugu dhidi ya wagombea, wafuasi wa vyama na wagombea kuingilia mikotano ya wagombea wa vyama vingine.
Aidha kuongeza muda wa kampeni, kukiuka ratiba ya kampeni, wafuasi wa vyama kuharibu mabango ya wagombea. Pia kufanya maandamano yasiyokuwa na kibali kabla ya saa ya kampeni.
Mgombea au Chama kikiona maadili ya uchaguzi yamekiukwa atatakiwa kuwasilisha malalamiko kwa mwenyekiti wa Kamati ya Maadili ya Uchaguzi ndani ya saa 72 tangu kutokea kwa tukio linalolalamikiwa.
==