Pfizer
JF-Expert Member
- Mar 25, 2021
- 590
- 807
Wanajamvi,
Nimeshangaa na Kushituka kusikia sauti ya Naibu waziri wizara ya Mifugo na uvuvi (MUV) Mbunge wa Jimbo la Mkuranga Abdallah Hamis Ulega akiongea mambo ya ajabu bila hata kuhofia vyombo vya dola
Nikajiuliza Maswali mengi. Je, Maadili ya Viongozi yameishia wapi?
Je Siasa za Tanzania zimebadilika? Baadaye nikasikiliza hii audio ya Whatsapp