Maadili ya Uongozi: Naibu Waziri Abdallah Hamis Ulega, hapa ulikuwa unamaanisha nini?

Pfizer

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2021
Posts
590
Reaction score
807
Wanajamvi,

Nimeshangaa na Kushituka kusikia sauti ya Naibu waziri wizara ya Mifugo na uvuvi (MUV) Mbunge wa Jimbo la Mkuranga Abdallah Hamis Ulega akiongea mambo ya ajabu bila hata kuhofia vyombo vya dola

Nikajiuliza Maswali mengi. Je, Maadili ya Viongozi yameishia wapi?
Your browser is not able to display this video.
Your browser is not able to display this video.


Je Siasa za Tanzania zimebadilika? Baadaye nikasikiliza hii audio ya Whatsapp
Your browser is not able to display this video.
 
Kwani wote tulikuwepo mkuu!!!
 
Kama ameongea lolote ungenukuu alichoongea.

Lakini hizi political smearing ni mbaya sana
 
Siasa bongo ni vita kama vita zingine
 
Mimi nimesikiliza hizo audio ila sijajua anacholalamikia mleta mada ni kipi.
Mambo mengi yaliyolalamikiwa ni ya kawaida sana kwenye "fitina za kisiasa".

Siasa za Afrika sio smooth mkuu.

Na kama unaona Ulega anazingua, jaribu kwenda kuutaka Ubunge Kongwa kwa Mzee baba Sabufa ndio utajua hujui.

If you want to play a certain game, you first have to learn how to play it well.
 
Kwani manji walimfanya nini? Mbona inatisha hii , ila huyu jamaa anaroho mbaya sana.
 
Kuna tatizo kubwa sana ndani ya wanasiasa wa ccm.. Kwamba wakati wa uchaguzi kila siku alikuwa anatumia si chini ya milion 2 mpaka 5 kuhonga
 
..... watu wa mkuranga tunahali ngumu sana, tunapigwa na mhe ulega na kutengenezewa mazengwe kila kukicha...![emoji29][emoji29][emoji29]
 
Hii habari ni kubwa inahitaji tu kuwekwa vizuri.. Ulega ana tuhuma nyingi mno
 
..... watu wa mkuranga tunahali ngumu sana, tunapigwa na mhe ulega na kutengenezewa mazengwe kila kukicha...![emoji29][emoji29][emoji29]
Mh. Ulega ukimuona kama fala fulani hivi, kumbe mafia hatari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…