usicheke nitawatja madimin wote na majina yao what's app na majina yao wanayotumia humu, kama mbwai na iwe mbwaiHahahaha upigaji kila kona
we utakuwa mmoja waosi uondoke kwenye group??? Maana kila kitu kina lengo lake japo mnaweza kukubaliana lkn wengine km ww wakakubli kwa shingo upande basi mwisho wa siku wengi wape......ISIJE IKAWA KM pengo ANAKUBALIANA NA MAASKOFU WENZAKE LKN YY ANASIDE NA WUAJI
vikoba vya ubabeDuuh!! Hayo ni magroup ya whatsapp au VICOBA?
umefurahi au siohahaa
Hakikavikoba vya ubabe
Me na kikristo wapi na wapi hearly aliyemquote Miller ni Davet alikuwa na simu yangukumbe wajua kikristo ...leo nimekubamba
lol ..uhongo huu"" wa chuo kikuu""Me na kikristo wapi na wapi hearly aliyemquote Miller ni Davet alikuwa na simu yangu
Mkuu jamaa Naona kama kakuelekeza tu.. Na hata mie naona kweli umechanganya kwenye L na R. Tuwe waungwana; tupokee criticism. Unarekebika kesho unaandika vema.andika wewe
mfano valentinaHalafu eti wanaweka na kiwango kabisa !
Mfano Kwenye rambirambi , kawaida Mtu anatakiwa kutoa alichonacho au Kwa kadri atakavyoguswa Moyoni mwake, sasa kwanini kulazimishana na kuwekeana viwango?!
Yani siku hizi imekuwa Kama fashion!
DuuuHabali za jioni wakuu
nina kelo inayonisumbua muda mrefu,sana leo naomba kuitoa hadhalani.
ni kuhusu maadmin wengi wa magroup ya whatsapp haswa yanayojumuisha member wa kutoka jamiiforums wamekuwa na tabia ya kuanzisha michango isiyo na kichwa wala miguu
SHUBAMITIIIIIII utasikia eti tutoe michango ya kusaidizana kira mwezi kuwe na maripo ,maqdimini wengine wanasema eti kila mwezi tuchangie michango ya kuanzisha miradi. mbaya zaidi michango hii hii imekuwa kama razima, mimi imenibidi niripe kwa sababu ya aibu na nisije kutolewa sababu nimekutana na wana kwenye group na tumezoeana.
Maadmin mkome hii tabia mnafukwaza sana tunashindwa kuwaambia tu, admin kakaa huko mipango yake ya hela imehalibika anakuja kwenye group anawaambia tuanzishe mradi mala sijui mfuko wa kusaidizana na kila member amatakiwa atume hela kwa adimin, inaboa sana. kira mtu apambane na hari yake, mkizingua nawataja wote. hizo pesa tulizolipa kwenu sahivi mnazizungushia kwenye biashala zenu sahivi mnakenua meno nje SHUBQMITIIIII
Utakua mmoja wa ma-admin uchwara weweDuh! Huu uandishi ni kiboko aisee, kwenye r kuna L na kwenye L kuna r na mazagazaga mengine kibao tu kama vile makange ya mbuzi! Hahahaahaa!
Habali za jioni wakuu