Maadmin wa magroup ya Whatsapp acheni kutuchangisha michango, maisha magumu

si uondoke kwenye group??? Maana kila kitu kina lengo lake japo mnaweza kukubaliana lkn wengine km ww wakakubli kwa shingo upande basi mwisho wa siku wengi wape......ISIJE IKAWA KM pengo ANAKUBALIANA NA MAASKOFU WENZAKE LKN YY ANASIDE NA WUAJI
 
Duuh!! Hayo ni magroup ya whatsapp au VICOBA?
 
si uondoke kwenye group??? Maana kila kitu kina lengo lake japo mnaweza kukubaliana lkn wengine km ww wakakubli kwa shingo upande basi mwisho wa siku wengi wape......ISIJE IKAWA KM pengo ANAKUBALIANA NA MAASKOFU WENZAKE LKN YY ANASIDE NA WUAJI
we utakuwa mmoja wao
 
Halafu eti wanaweka na kiwango kabisa !
Mfano Kwenye rambirambi , kawaida Mtu anatakiwa kutoa alichonacho au Kwa kadri atakavyoguswa Moyoni mwake, sasa kwanini kulazimishana na kuwekeana viwango?!
Yani siku hizi imekuwa Kama fashion!
 
andika wewe
Mkuu jamaa Naona kama kakuelekeza tu.. Na hata mie naona kweli umechanganya kwenye L na R. Tuwe waungwana; tupokee criticism. Unarekebika kesho unaandika vema.

Tukitunze kiswahili. Ni Tunu ya Taifa.

Asante kwa mada.. Ni kero yangu pia. Undugu au umoja haupimwi kwa kiasi cha pesa unachotoa... Undugu kutembeleana.. Sio michango kushoto kulia na juu chini as if tunasubscribe huo urafiki/undugu
 
Halafu eti wanaweka na kiwango kabisa !
Mfano Kwenye rambirambi , kawaida Mtu anatakiwa kutoa alichonacho au Kwa kadri atakavyoguswa Moyoni mwake, sasa kwanini kulazimishana na kuwekeana viwango?!
Yani siku hizi imekuwa Kama fashion!
mfano valentina
 
Habali za jioni wakuu

nina kelo inayonisumbua muda mrefu,sana leo naomba kuitoa hadhalani.

ni kuhusu maadmin wengi wa magroup ya whatsapp haswa yanayojumuisha member wa kutoka jamiiforums wamekuwa na tabia ya kuanzisha michango isiyo na kichwa wala miguu

SHUBAMITIIIIIII utasikia eti tutoe michango ya kusaidizana kira mwezi kuwe na maripo ,maqdimini wengine wanasema eti kila mwezi tuchangie michango ya kuanzisha miradi. mbaya zaidi michango hii hii imekuwa kama razima, mimi imenibidi niripe kwa sababu ya aibu na nisije kutolewa sababu nimekutana na wana kwenye group na tumezoeana.

Maadmin mkome hii tabia mnafukwaza sana tunashindwa kuwaambia tu, admin kakaa huko mipango yake ya hela imehalibika anakuja kwenye group anawaambia tuanzishe mradi mala sijui mfuko wa kusaidizana na kila member amatakiwa atume hela kwa adimin, inaboa sana. kira mtu apambane na hari yake, mkizingua nawataja wote. hizo pesa tulizolipa kwenu sahivi mnazizungushia kwenye biashala zenu sahivi mnakenua meno nje SHUBQMITIIIII
Duuu
139872-b5faaa62cb0b1c26c46749762d25d166.jpg
 
Watu wasiojulikana wamekuja kwa staili nyingine!
Wajinga ndiyo waliwao!
 
Back
Top Bottom