Maadmin wa magroup ya Whatsapp acheni kutuchangisha michango, maisha magumu

Maadmin wa magroup ya Whatsapp acheni kutuchangisha michango, maisha magumu

Michigan boy

Member
Joined
Aug 10, 2017
Posts
84
Reaction score
84
Habali za jioni wakuu

nina kelo inayonisumbua muda mrefu,sana leo naomba kuitoa hadhalani.

ni kuhusu maadmin wengi wa magroup ya whatsapp haswa yanayojumuisha member wa kutoka jamiiforums wamekuwa na tabia ya kuanzisha michango isiyo na kichwa wala miguu

SHUBAMITIIIIIII utasikia eti tutoe michango ya kusaidizana kira mwezi kuwe na maripo ,maqdimini wengine wanasema eti kila mwezi tuchangie michango ya kuanzisha miradi. mbaya zaidi michango hii hii imekuwa kama razima, mimi imenibidi niripe kwa sababu ya aibu na nisije kutolewa sababu nimekutana na wana kwenye group na tumezoeana.

Maadmin mkome hii tabia mnafukwaza sana tunashindwa kuwaambia tu, admin kakaa huko mipango yake ya hela imehalibika anakuja kwenye group anawaambia tuanzishe mradi mala sijui mfuko wa kusaidizana na kila member amatakiwa atume hela kwa adimin, inaboa sana. kira mtu apambane na hari yake, mkizingua nawataja wote. hizo pesa tulizolipa kwenu sahivi mnazizungushia kwenye biashala zenu sahivi mnakenua meno nje SHUBQMITIIIII
 
Mimi hayo ma group ya whatsapp hawataki hata kuniona dadeki zao. Kuna group walitaka nitoe mchango nikawauliza wa nini eti kusaidia watu vijijini. Sasa nikauliza mimi naweza kuwa mkamataji hela nasikia miguno tu. Nikasepa zangu
 
yaani mkuu wanaboa sana,
 
Sasa na hiyo miradi mnayoambiwa mchangie mnaiona lakini?
 
Kumbe kuna magrupu ya jf wasap niungeni na mimi
 
Back
Top Bottom