Maadui wakubwa wa soka la bongo katika picha!

kipara kipya

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2016
Posts
18,833
Reaction score
23,276
Hawa ndio wenye kufifisha maendeleo ya soka Tanzania kakosekana GSM,hao sio watu wa mpira......kabisa hapa wanasaidiana kununua mechi na timu kama Ihefu sasa wana mradi wa kununuliana wachezaji na makocha.

Timu ikifika ngazi klabu bingwa kule hakuna Mwigulu wa GSM chali nyumbani na ugrnini!.....muwaone vizuri wapinga maendeleo ya soka kwa vitendo!
 
Nyie viherehere vyenu vya Kupenda Pesa ndio Maana mnaruhus kufungwa mara nne mfululizo na Timu Moya... Badilikeni kwa faida ya Mpira wetu
Wameshabadilika ndio maana wapo robo fainal maadui wapo hatua gani?
 
Miccm hio
 
Mahali popote akitia mguu Mwigulu lazima paharibike. Ana Pepo la uharibifu😔😔
 
Hao ndiyo backbone ya ligi yetu kuwa ndani ya top 10 ligi bora afrika mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…