Maadui wakubwa wa soka la bongo katika picha!

Maadui wakubwa wa soka la bongo katika picha!

Hawa ndio wenye kufifisha maendeleo ya soka Tanzania kakosekana GSM,hao sio watu wa mpira......kabisa hapa wanasaidiana kununua mechi na timu kama Ihefu sasa wana mradi wa kununuliana wachezaji na makocha.

Timu ikifika ngazi klabu bingwa kule hakuna Mwigulu wa GSM chali nyumbani na ugrnini!.....muwaone vizuri wapinga maendeleo ya soka kwa vitendo!
View attachment 3225560
Hapo kila mmoja amevaa kofi mbili mbili. Huyo wa kulia pia anaiwakilisha GSM katika kikao hicho cha faragha.
 
Back
Top Bottom