Retired Analyst
Senior Member
- Apr 7, 2025
- 138
- 244
Watu waliokuwa wananifanyia figisu kazini mwaka 2014 mpaka 2018, nikikutana nao Kariakoo au pahala pengine, wananichangamkia na kuniambia "Karibu nyumbani utusalimie siku moja"
Sasa ninajiuliza, wanataka niende makwao ili wakaniwekee sumu kwenye chakula ama vp?? Maana ninawaona kama vile wanafiki.
Kama ni watu wema, mbona walikuwa hawakuwahi kunichangamkii kazini badala yake wakawa wananipikia majungu ili nifukuzwe kazi??
ANGALIZO: Usimfanyie mtu fitna/figisu eneo la kutafutia rizki. Kamwe haujui ni nani atakuja kukufaa miaka ya baadae.