Maadui zangu wananichekea na kuniambia "SIKU MOJA KARIBU NYUMBANI UTUSALIMIE"

Maadui zangu wananichekea na kuniambia "SIKU MOJA KARIBU NYUMBANI UTUSALIMIE"

People attack what they know. Pengne kwasasa hawajui chochote khs ww so wanatafuta kujua upo wp unafanya nn ili wapate cha kukuattack so make sure kwasasa hawajui ktu khs ww bs. Nipo uku nlipo kikaz kuna nyumba nimepanga mwny nyumba hajui nafanya kaz gn, hajui jna langu maana nlimpa fake ameshapambana wee mpk amenyoosha mikono na sina mazoea zoea na watu maana humo ndimo walimo real enemies.
Nimeongeza kiwango cha usiri wa taarifa zangu muda mrefu sana kwa sasa. Wanachokiona nje ni uongo mtupu na sio uhalisia wenyewe.
 
Back
Top Bottom