Retired Analyst
Senior Member
- Apr 7, 2025
- 138
- 244
Watu waliokuwa wananifanyia figisu kazini mwaka 2014 mpaka 2018, nikikutana na Kariakoo au pahala pengine, hata eti wananichangamkia na kuniambia "Karibu nyumbani utusalimie siku moja"
Sasa ninajiuliza, wanataka niende makwao ili wakaniwekee sumu kwenye chakula ama vp?? Maana ninawaona kama vile wanafiki.
Kama kunichangamkia, mbona walikuwa hawanichangamkii kazini badala yake wakawa wananipikia majungu ili nifukuzwe kazi??
ANGALIZO: Usimfanyie mtu fitna/figisu eneo la kutafutia rizki. Kamwe haujui ni nani atakuja kukufaa miaka ya baadae.
Mtu anayekufanyia figisu kazini huyo siyo adui??Inawezekana hata wao hawajui kama wewe unawachukulia kama maadui , vitu vingine nikujishtukia tu kuwa kuna mtu ana dili na wewe kumbe wala hakuna anaekuwaza🤔
Umejuaje mkuu ,na uthibitisho ni upi?Mtu anayekufanyia figisu kazini huyo siyo adui??
Ndio ninazo evidences tena ni very concreteUmejuaje mkuu ,na uthibitisho ni upi?
Huwezi elewa. Wewe bado mtotoKwann ulikuwa unafanyiwa figisu kazin, maana unaweza kulaumu watu kumbe ulikuwaga mwijaku ktk kampuni
Za kuambiwa changanya na zako inawezekana waliokuambia ndio maadui zako🤔 najaribu kufikiri kwa upana tu kitu kama hiki kilishanitokea🤔Ndio ninazo evidences tena ni very concrete
Mpaka hapa nimejua kwann ulikuwa unafanyiwa figisu, Yani inaonekana mwanangu una zarau vibaya mnoHuwezi elewa. Wewe bado mtoto
Director General wa kampuni anakaa Ulaya, anapiga simu kupitia Skype na kunifokea kwa makosa ambayo siyajui wala sijafanya, anipe habari za uongo kwa lengo gani??Za kuambiwa changanya na zako inawezekana waliokuambia ndio maadui zako🤔 najaribu kufikiri kwa upana tu kitu kama hiki kilishanitokea🤔
Hata mimi nimeushtukia mkuuMtego huo ndugu
Pole mkuuDirector General wao kampuni anakaa Ulaya, anapiga simu kupitia Skype na kunifokea kwa makosa ambayo siyajui, anipe habari za uongo kwa lengo gani??
Waite kwako waje wakusalimieHata mimi nimeushtukia mkuu
Maadui zangu niwaite kwangu?? Mimi ninawaitwa kwangu marafiki zangu tu.Waite kwako waje wakusalimie
Thanks. I'm surely gonna hit them back one day. Hauwezi kunishambulia alafu mimi nisilipize kisasi. Hiyo haiwezekani hata siku moja.Pole mkuu