Maafa Kariakoo: Usichangishe fedha tumia akaunti ya Serikali

"Mimi sijawaletea tetemeko"
Sauti kutoka kaburini Chato
 
Sitoi hata shilingi 1 serikali inaten
Serikali kupitia Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu, Dkt Jim James Yonazi ametoa akaunti maalum ya Serikali ambayo Watanzania wataitumia ili kutuma fedha kwa ajili ya kuwachangia waliopata maafa Kariakoo.

Jina la Akaunti
National Relief Fund

Namba ya Akaunti
9921159801

Pia, Soma: Live Updates Kuporomoka kwa Ghorofa Kariakoo Nov 16: Watu 7 wengine waokolewa

Ga pesa kwa ajili ya mara pesa zinaenda wapi? Shit hole
 
Serikali kupitia Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu, Dkt Jim James Yonazi ametoa akaunti maalum ya Serikali ambayo Watanzania wataitumia ili kutuma fedha kwa ajili ya kuwachangia waliopata maafa Kariakoo.

Jina la Akaunti
National Relief Fund

Namba ya Akaunti
9921159801

Pia, Soma: Live Updates Kuporomoka kwa Ghorofa Kariakoo Nov 16: Watu 7 wengine waokolewa

Halafu serikali walivyo na KICHAA wanadhani kuna mwananchi yeyote atatuma senti ya aina yoyote kwenye account ya serikali?

Fvck the govt!
 
Screenshot_20241118_122719_Lite.jpg
 
Back
Top Bottom