Maafa kwenye mipira wa jana: We need independent verification. Unategemea wakifa 100 Waziri Ummy aseme ukweli?

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Waziri Ummy kasema amekufa mtu moja na over 30 wamejeruhiwa.

Unategemea kweli wakifa watu wengi aseme ukweli?

Jawabu ni independent verification ambaypo haifungamani na serikali.

All in all, after all for politicians haina athali kufa watu kwenye mipira as long as their political positions are not shaken! . Walikufa wangapi wakati wa msiba wa Magufuli na maisha yakaendelea as if nothng has happened. Business as usual?
 
Naungana nawe kwenye suala la uchunguzi huru, pawepo na taarifa zitakazokuja kuthibitisha kama kweli idadi ya vifo ndio hiyo au ni zaidi, kwasababu imeshaonekana mara kadhaa, wanasiasa wetu hufanya kazi zao kisiasa.
 
All in all, after all haina athali kufa watu kwenye mipira. Walikufa wangapi wakati wa msiba wa Magufuli na maisha yakaendelea as if nothng has happened. Business as usual?

Serikali yetu imejaa uongo. Hata kwa Magufuli walisema 50 wamekufa ila ilikuwa zaidi ya Happ.
 
mbaya umeonekana tena kuonesha halina uzito, hapo umekosea, roho za watanzania zina thamani zaidi ya kitu kingine chochote.
I was making reference to wana siasa kuwa haya yanatokea kila mara lakini nobody cares na yanajirudia kila wakati. Wao wanaona kufa kwa hawa walalahoi ni kitu kidogo...as long as they maintain there political positions
 
Umeandika jambo la msingi lakini bahati mbaya umeonekana tena kuonesha halina uzito, hapo umekosea, roho za watanzania zina thamani zaidi ya kitu kingine chochote.

Naungana nawe kwenye suala la uchunguzi huru, pawepo na taarifa zitakazokuja kuthibitisha kama kweli idadi ya vifo ndio hiyo au ni zaidi, kwasababu imeshaonekana mara kadhaa, wanasiasa wetu hufanya kazi zao kisiasa.
nimerekebisha , re-read my original post
 
Waziri Ummy kasema amekufa mtu moja na over 30 wamejeruhiwa.
Unategemea kweli wakifa watu wengi aseme ukweli?

Jawabu ni independent verification ambaypo haifungamani na serikali.

All in all, after all for politicians haina athali kufa watu kwenye mipira as long as their political positions are not shaken! . Walikufa wangapi wakati wa msiba wa Magufuli na maisha yakaendelea as if nothng has happened. Business as usual?
Jifunze kuandika kwa kitoa taarifa kwa kina ili kila mtu aelewe nini kilitokea alafu ndio unatoa mawazo yako.Umeanfika kama vile kika mtu anajua au alikuwa eneo la tukio.Hujaeleweka una toa mawazo juu ya kitu gani.
 
Hii ndio bure kuwa ghali
unaruhusu ticket za kukatiwa watu na huwi na tahadhari matokeo yake ndio haya kupoteza uhai wa mtu
 
Waziri Ummy kasema amekufa mtu moja na over 30 wamejeruhiwa.
Unategemea kweli wakifa watu wengi aseme ukweli?

Jawabu ni independent verification ambaypo haifungamani na serikali.

All in all, after all for politicians haina athali kufa watu kwenye mipira as long as their political positions are not shaken! . Walikufa wangapi wakati wa msiba wa Magufuli na maisha yakaendelea as if nothng has happened. Business as usual?
Iamini tu serikali. Mbona mambo mengi tu wanatueleza ukweli?
1. Kwenye corona si walitupa takwimu za kweli?
2. Mv bukoba ilipozama si walitupa takwimu za kweli?
3. Treni ilipoanguka Dodoma si walitupa takwimu za kweli?
4. Matokeo uchaguzi s/mitaa na mkuu si walitupa takwimu za kweli?
5. Viwanda vilivyojengwa Tz kati ya 2016 na 2021 si walitupa takwimu za kweli?
6. .....
7. .....
 
Independent verification since when?
Kwani wakisema walikufa watu 100 ndo itatokea nini??

So much for nothing...
 
Waziri Ummy kasema amekufa mtu moja na over 30 wamejeruhiwa.
Unategemea kweli wakifa watu wengi aseme ukweli?

Jawabu ni independent verification ambaypo haifungamani na serikali.

All in all, after all for politicians haina athali kufa watu kwenye mipira as long as their political positions are not shaken! . Walikufa wangapi wakati wa msiba wa Magufuli na maisha yakaendelea as if nothng has happened. Business as usual?
ikifanya verification kinachofuata? Hata wangekufa 1000 serikali ndio imewaua? Tumieni akili nyie ni binadamu siyo nyumbu.
 
Waziri Ummy kasema amekufa mtu moja na over 30 wamejeruhiwa.
Unategemea kweli wakifa watu wengi aseme ukweli?

Jawabu ni independent verification ambaypo haifungamani na serikali.

All in all, after all for politicians haina athali kufa watu kwenye mipira as long as their political positions are not shaken! . Walikufa wangapi wakati wa msiba wa Magufuli na maisha yakaendelea as if nothng has happened. Business as usual?
Kwanza ungeandika kwa lugha moja uzi wako. Kiswanglish waachie ma-slay queens. Wakifa wengi wewe itakusaidia nini? Kuna faida gani utapata wakitangazwa wamekufa wengi? Waziri wa afya ndiye mwenye dhamana ya kutangaza jambo kama hilo. Kama hutaki hamia kwingine ambapo hufanya hicho unachoita Independent Verification. Nyie ndo wale ajali inatokea badala ya kusaidia kuokoa unachukua video kwanza ili upost.
 
Waziri Ummy kasema amekufa mtu moja na over 30 wamejeruhiwa.
Unategemea kweli wakifa watu wengi aseme ukweli?

Jawabu ni independent verification ambaypo haifungamani na serikali.

All in all, after all for politicians haina athali kufa watu kwenye mipira as long as their political positions are not shaken! . Walikufa wangapi wakati wa msiba wa Magufuli na maisha yakaendelea as if nothng has happened. Business as usual?
Yaani hauiamini Serikali halafu unadai utawaamini watu huru!? Kwani hao watu huru wataletwa na nani?
 
Back
Top Bottom