Maafa kwenye mipira wa jana: We need independent verification. Unategemea wakifa 100 Waziri Ummy aseme ukweli?

Maafa kwenye mipira wa jana: We need independent verification. Unategemea wakifa 100 Waziri Ummy aseme ukweli?

Waziri Ummy kasema amekufa mtu moja na over 30 wamejeruhiwa.
Unategemea kweli wakifa watu wengi aseme ukweli?

Jawabu ni independent verification ambaypo haifungamani na serikali.

All in all, after all for politicians haina athali kufa watu kwenye mipira as long as their political positions are not shaken! . Walikufa wangapi wakati wa msiba wa Magufuli na maisha yakaendelea as if nothng has happened. Business as usual?
Wafiche waliokufa ili iweje!?..watu mpo negative to na serikali
 
l mean
Iamini tu serikali. Mbona mambo mengi tu wanatueleza ukweli?
1. Kwenye corona si walitupa takwimu za kweli?
2. Mv bukoba ilipozama si walitupa takwimu za kweli?
3. Treni ilipoanguka Dodoma si walitupa takwimu za kweli?
4. Matokeo uchaguzi s/mitaa na mkuu si walitupa takwimu za kweli?
5. Viwanda vilivyojengwa Tz kati ya 2016 na 2021 si walitupa takwimu za kweli?
6. .....
7. .....

Nakujibu kama hapa chini

by contrast

contrary is true
in contrast
it is just the opposite
it is quite the opposite
it is the opposite
it is the other way round
opposite is actually the case
opposite is true
opposite was true
quite the contrary
quite the opposite
quite the reverse
reverse is true
you got it backwards
you got me all wrong
you have it backwar
you have that backwards
 
Jifunze kuandika kwa kitoa taarifa kwa kina ili kila mtu aelewe nini kilitokea alafu ndio unatoa mawazo yako.Umeanfika kama vile kika mtu anajua au alikuwa eneo la tukio.Hujaeleweka una toa mawazo juu ya kitu gani.
That was a widely circulated event, kama hukuona, then you are not worthy!
 
Kwanza ungeandika kwa lugha moja uzi wako. Kiswanglish waachie ma-slay queens. Wakifa wengi wewe itakusaidia nini? Kuna faida gani utapata wakitangazwa wamekufa wengi? Waziri wa afya ndiye mwenye dhamana ya kutangaza jambo kama hilo. Kama hutaki hamia kwingine ambapo hufanya hicho unachoita Independent Verification. Nyie ndo wale ajali inatokea badala ya kusaidia kuokoa unachukua video kwanza ili upost.
Ignore
 
Waziri Ummy kasema amekufa mtu moja na over 30 wamejeruhiwa.

Unategemea kweli wakifa watu wengi aseme ukweli?

Jawabu ni independent verification ambaypo haifungamani na serikali.

All in all, after all for politicians haina athali kufa watu kwenye mipira as long as their political positions are not shaken! . Walikufa wangapi wakati wa msiba wa Magufuli na maisha yakaendelea as if nothng has happened. Business as usual?
 
Hii nchi hata wangekufa 100 HAKUNA AMBAE ANGEFANYWA KITU.. yani maisha ya watu yanachuliwa poa sana tuna safari ndefu mno.
 
Mmekanyagana wenyewe bila kutumia akili.

ujinga ni mzigo sana!!!

mgekuwa na akili msinge kanyagana na kumua mwenzenu.

ulevi wa pombe na uvutaji wa bangi ndio chanzo kikuu cha upuuzi kama huu ulio tokea.

Acheni kutumia ulevi wa pombe na bangi mnapo enda kwenye mikusanyiko mikubwa kama uwanjani.
 
Hii nchi hata wangekufa 100 HAKUNA AMBAE ANGEFANYWA KITU.. yani maisha ya watu yanachuliwa poa sana tuna safari ndefu mno.
Maisha ni yako unapaswa kuyalinda kwa namna yoyote ile, ukisubiri serikali ikulindie maisha yako utasubiri sana, Serikali itakuchangia tu gharama za mazishi
 
Wakija watu huru walioletwa na serikali ndiyo utaanza kuiamini serikali ?!![emoji1787]
 
Waziri Ummy kasema amekufa mtu moja na over 30 wamejeruhiwa.

Unategemea kweli wakifa watu wengi aseme ukweli?

Jawabu ni independent verification ambaypo haifungamani na serikali.

All in all, after all for politicians haina athali kufa watu kwenye mipira as long as their political positions are not shaken! . Walikufa wangapi wakati wa msiba wa Magufuli na maisha yakaendelea as if nothng has happened. Business as usual?

Iamini tu serikali. Mbona mambo mengi tu wanatueleza ukweli?
1. Kwenye corona si walitupa takwimu za kweli?
2. Mv bukoba ilipozama si walitupa takwimu za kweli?
3. Treni ilipoanguka Dodoma si walitupa takwimu za kweli?
4. Matokeo uchaguzi s/mitaa na mkuu si walitupa takwimu za kweli?
5. Viwanda vilivyojengwa Tz kati ya 2016 na 2021 si walitupa takwimu za kweli?
6. .....
7. .....
Treni ilipoanguka Dodoma takwimu labda hazikuwa kweli. Mimi nilikwenda Dodoma nikawaona watu wanahaha kutafuta ndugu zao.
Niliwasikia watu wanasema,"Tupo hapa toka kabla miili haijaanza kuharibika mpaka sasa lakini bado hatujawaona ndugu zetu."
 
Ummy ni Waziri wa nini?

Masauni yuko wapi?

Pindi yuko wapi?

Chalamila yuko wapi?

Nchi Ngumu Sana hii
Afya, Mambo ya Ndani, Sanaa na Michezo, RC Dar es Salaam mtawaliwa. Wa kwanza hili halimihusu sana. Hao wengine wanawajibika moja kwa moja na hayo yaliyojitokeza.
 
Back
Top Bottom