Waziri Ummy kasema amekufa mtu moja na over 30 wamejeruhiwa.
Unategemea kweli wakifa watu wengi aseme ukweli?
Jawabu ni independent verification ambaypo haifungamani na serikali.
All in all, after all haina athali kufa watu kwenye mipira. Walikufa wangapi wakati wa msiba wa Magufuli na maisha yakaendelea as if nothng has happened. Business as usual?
I was making reference to wana siasa kuwa haya yanatokea kila mara lakini nobody cares na yanajirudia kila wakati. Wao wanaona kufa kwa hawa walalahoi ni kitu kidogo...as long as they maintain there political positionsmbaya umeonekana tena kuonesha halina uzito, hapo umekosea, roho za watanzania zina thamani zaidi ya kitu kingine chochote.
Umesemakweli kabisa, nobody caresUmmy ni Waziri wa nini?
Masauni yuko wapi?
Pindi yuko wapi?
Chalamila yuko wapi?
Nchi Ngumu Sana hii
nimerekebisha , re-read my original postUmeandika jambo la msingi lakini bahati mbaya umeonekana tena kuonesha halina uzito, hapo umekosea, roho za watanzania zina thamani zaidi ya kitu kingine chochote.
Naungana nawe kwenye suala la uchunguzi huru, pawepo na taarifa zitakazokuja kuthibitisha kama kweli idadi ya vifo ndio hiyo au ni zaidi, kwasababu imeshaonekana mara kadhaa, wanasiasa wetu hufanya kazi zao kisiasa.
Jifunze kuandika kwa kitoa taarifa kwa kina ili kila mtu aelewe nini kilitokea alafu ndio unatoa mawazo yako.Umeanfika kama vile kika mtu anajua au alikuwa eneo la tukio.Hujaeleweka una toa mawazo juu ya kitu gani.Waziri Ummy kasema amekufa mtu moja na over 30 wamejeruhiwa.
Unategemea kweli wakifa watu wengi aseme ukweli?
Jawabu ni independent verification ambaypo haifungamani na serikali.
All in all, after all for politicians haina athali kufa watu kwenye mipira as long as their political positions are not shaken! . Walikufa wangapi wakati wa msiba wa Magufuli na maisha yakaendelea as if nothng has happened. Business as usual?
Iamini tu serikali. Mbona mambo mengi tu wanatueleza ukweli?Waziri Ummy kasema amekufa mtu moja na over 30 wamejeruhiwa.
Unategemea kweli wakifa watu wengi aseme ukweli?
Jawabu ni independent verification ambaypo haifungamani na serikali.
All in all, after all for politicians haina athali kufa watu kwenye mipira as long as their political positions are not shaken! . Walikufa wangapi wakati wa msiba wa Magufuli na maisha yakaendelea as if nothng has happened. Business as usual?
ikifanya verification kinachofuata? Hata wangekufa 1000 serikali ndio imewaua? Tumieni akili nyie ni binadamu siyo nyumbu.Waziri Ummy kasema amekufa mtu moja na over 30 wamejeruhiwa.
Unategemea kweli wakifa watu wengi aseme ukweli?
Jawabu ni independent verification ambaypo haifungamani na serikali.
All in all, after all for politicians haina athali kufa watu kwenye mipira as long as their political positions are not shaken! . Walikufa wangapi wakati wa msiba wa Magufuli na maisha yakaendelea as if nothng has happened. Business as usual?
Ok, nami nime-edit my first comment.nimerekebisha , re-read my original post
Kwanza ungeandika kwa lugha moja uzi wako. Kiswanglish waachie ma-slay queens. Wakifa wengi wewe itakusaidia nini? Kuna faida gani utapata wakitangazwa wamekufa wengi? Waziri wa afya ndiye mwenye dhamana ya kutangaza jambo kama hilo. Kama hutaki hamia kwingine ambapo hufanya hicho unachoita Independent Verification. Nyie ndo wale ajali inatokea badala ya kusaidia kuokoa unachukua video kwanza ili upost.Waziri Ummy kasema amekufa mtu moja na over 30 wamejeruhiwa.
Unategemea kweli wakifa watu wengi aseme ukweli?
Jawabu ni independent verification ambaypo haifungamani na serikali.
All in all, after all for politicians haina athali kufa watu kwenye mipira as long as their political positions are not shaken! . Walikufa wangapi wakati wa msiba wa Magufuli na maisha yakaendelea as if nothng has happened. Business as usual?
Yaani hauiamini Serikali halafu unadai utawaamini watu huru!? Kwani hao watu huru wataletwa na nani?Waziri Ummy kasema amekufa mtu moja na over 30 wamejeruhiwa.
Unategemea kweli wakifa watu wengi aseme ukweli?
Jawabu ni independent verification ambaypo haifungamani na serikali.
All in all, after all for politicians haina athali kufa watu kwenye mipira as long as their political positions are not shaken! . Walikufa wangapi wakati wa msiba wa Magufuli na maisha yakaendelea as if nothng has happened. Business as usual?
Inayosimamia usalam wa wananchi wake siyo serikali? Au chademaikifanya verification kinachofuata? Hata wangekufa 1000 serikali ndio imewaua? Tumieni akili nyie ni binadamu siyo nyumbu.