Big dady 11
Senior Member
- May 21, 2023
- 109
- 128
Mambo vp wakuu..
Nimekuwa nikifatilia nyuzi nyingi humu pia hata mitandao mingine.
Watu wengi wamekuwa wakimlaumu sana Raisi wa nchi..
Lawama nyingi zikiwa ni kwanini Raisi asafiri wakati Kuna maafa nchini kwake??
Kariakoo waziri mkuu alienda na kutoa maagizo .. sasa Raisi afate Nini??
Je ikulu Kuna kitengo Cha uokoaji aje nacho?
majukumu yote ya kusimamia uokoaji na usalama wa Mali eneo la tukio lipo chini ya ofisi ya waziri mkuu akiwa anapokea maagizo kutoka kwa boss wake(Raisi).
Naimani kama Raisi asinge pata mualiko huko Brazil kwenye mkutano wa G20. Naamini angekuwa wa kwanza kufika kariakoo lakini kwa bahati mbaya Mambo yameingiliana, tarehe yake ya kusafiri ndio likatokea janga..
Kwakua Raisi anawasaidizi basi wakagawana majukumu, na ndio kama tulivyoona mawaziri wakaweka kambi kariakoo na raisi akaenda Brazil kuwakilisha nchi.
Sasa vichwa panzi wengi( kwa utafiti wangu ni wanachama wa vyama pinzani) wamekuwa wakilitumia hili kama fimbo eti kwanini Raisi asafiri wakati nchi inamajanga ??
Narudia ukiona mtu anatoa lawama kama iyo jua anamatatizo ya afya ya akili..
Serikali aiendeshwi kama familia.
Pia wapo wanaolaumu kuwa waokoaji wapo slow na hawana vifaa, na kumtupia lawama Raisi wa nchi..
Kama utakuwa umepata bahati ya kufika kariakoo kwenye Lile jengo au hata kuliona tu kwenye mitandao au TV.. utaona kuwa Lile jengo halijadongoka asilimia zote 100.. ni kama limeshuka upande kuegemea ghorofa jirani ndomana Kuna nguzo bado azijadondo zimelalia upande tu,
Sasa waokoaji awawez tu kuchukua magreda na kuvuta vuta tu nguzo au kuchotachota tu vifusi hovyo..
Chini Kuna watu wapo hai na ndomana iliitajika umakini na taaluma ya uokozi na sio nguvu.
Simu zilizopigwa na wahanga wakiwa chini walikuwa wanaongea vizuri na kusema wapo kumi kwa sehemu moja, hii maana yake awajabanwa sana huko chini hivyo shida inayo wakumba ni hewa na maji.
Ndio maana waokoaji wakaanza kutoboa matundu kupitisha oxygen kwanza Kisha wakiwa wanaendelea kufukua kwa uangalifu ili vifusi vya juu visije kuwaangukia wahanga na kupoteza maisha..
Hivyo basi kwa mantiki hiyo matumizi ya kutumia nguvu au kufukua kwa pupa yahakuitajika.
Tungoje taarifa ya chanzo Cha ajali hapo ndio tutajua nani wakulaumiwa kwenye janga hili..
Soma Pia:
Huu ni mtazamo wangu kama raia, Binafsi sio mwanasiasa sijihisishi na siasa Wala siijui siasa
ACHENI KULETA SIASA KWENYE MAAFA

- Live Updates Kuporomoka kwa Ghorofa Kariakoo Nov 16: Watu 7 wengine waokolewa
- Rais Samia: Watu 13 wamefariki kwenye jengo lililoporomoka Kariakoo. Serikali kugharamia matibabu ya majeruhi na kuhakikisha waliofariki wanasitiriwa