Maafa ya kariakoo Rais hapaswi kulaumiwa

Maafa ya kariakoo Rais hapaswi kulaumiwa

Wanalipwa hela za walipa kodi. Hakuna hela ya bure. Wanachosema nini? Wanachofanya nini? Mbona hawaonekani kujua wanachofanya?
Kazi yao sio kwenda kukagua mitungi ya fire na kudai faini. Kazi yao ni kuokoa
Ulitaka wafike tu na kuanza kusogeza kifusi kwa greda?
 
Ukisifiwa kwa kila kitu hadi kunyesha kqa mvua jiandae kulaumiwa kwa kila kitu.
Sifa zina pande mbiki nzuri na mbaya. Kama hamshangai anapopewa sifa za kila kitu kwanini sasa ushangae akilaumiwa kwa kila kitu?
 
Siku ukija kutumia akili zako utakuja kujua serikali huendeshwa kwa mikakati. Na kupinga kila kitu akukufanyi uonekane msomi au mjuzi Bali ni kukosa akili na wengi wenu stress za maisha znafanya muilaumu serikali mda wote
Kumbe nilimjibu chawa. Sorry mwishiwa chawa aka chawa wa sa100
 
Ulitaka wafike tu na kuanza kusogeza kifusi kwa greda?

Inaonekana unavyofikiri tu, umekariri nan ni kweli hujui unachofanya. Wale makuli hawajasoma na hawakagui risiti za fire na uokoaji. Ila wamejitupa ndani ya kazin na wanafanya maajabu.
Kuna kila sababu ya kujua taasisi iliyopo ipo ili kufanya nini? Tunali[ia kodi na hili sio suala la kisiasa. Nini hasa kazi za taasisi na wanajifunza nini? Usikute wanajifunza kukagua risiti na kutoa fine tu 😂 😂 😂 😂
Precison kule Bukoba nalo ni darasa tosha kujiuliza haya maswali
 
Nadhani huna nia ya kuzungumzia utendaji. Jambo linalokuumiza ni kulipa kofi tu
 
........machawa hoyee....kusifia kila kitu ni mama na lawama zote ziwe zake pia....salaam
 
Nafikiria anastahili llawama kama muda mwingi tunamdifia kwa mazuri
 
Tatizo kubwa ni la watu kusifiasifia hovyo kila kitu hongera samia .
Ramadhani Brothers wameshunda tunzo huko Marekani , hongera mama samia kwa kuwawezesha ramadhani brothers kushinda
Taifa stars wakishinda Hongera kwa mama kwa kuwezesha taifa stars kushinda.
Wafadhili wakijenga choo cha msaada kwenye shule hongera kwa mama.
Yaani mambo hata hayahusiani na siasa watu wanaleta pongezi za kisiasa .
Hii ndio inasababisha watu wengine linapotokea jambo baya wanampa lawama huyo mama yenu.
Mbona akisifiwa kwa mambo ambayo hayamhusu hamjitokezi kupinga?
Tatizo mmezidi uchawa wa kijinga hivyo lazima myabebe na haya malawama msipende tu kusifiwasifiwa kipum

Katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu wa 2025, ni muhimu kufikiri kwa makini kuhusu uongozi wetu na jinsi unavyoshughulikia masuala ya msingi yanayoathiri maisha ya wananchi. Ni jambo la kushangaza na kukatisha tamaa kuona Rais wetu akielekea kwenye mikutano ya kimataifa, wakati nyumbani kuna maafa makubwa yanayohitaji uongozi wake wa karibu. Kutojishughulisha na masuala haya ni uthibitisho wa kutokujali hisia na mahitaji ya watu waliomchagua.

Kama ilivyo kawaida katika nchi nyingi, viongozi wanapokumbana na matatizo makubwa, kama vifo vya raia zaidi ya 13, inatarajiwa kuwa watachukua hatua za haraka na kuonyesha mshikamano na jamii. Lakini badala yake, tunaona Rais akifanya mipango ya safari ambazo hazina umuhimu wa dharura. Ni kweli kwamba wakati mwingine wanaweza kukabiliwa na majukumu mengine, lakini je, kweli kuna jambo lolote muhimu zaidi kuliko maisha ya watu? Hii ni dhahiri ya kutojua na kukosa uelewa wa hali halisi ya wananchi.

Kila kifo ni hadithi ya maisha, na kila mmoja wa waliokufa alikuwa na familia, marafiki, na jamii ambayo inakabiliwa na maumivu na huzuni. Hivyo, ni jukumu la Rais kuonyesha uongozi wa kweli, kutojificha nyuma ya kisingizio cha majukumu mengine. Kuwa muungwana hakumaanishi tu kusema maneno ya faraja; inahitaji vitendo vinavyothibitisha kwamba unajali na unaguswa na hali halisi ya raia.

Wakati tunaposema "huyu ni mtu wa watu," tunatarajia kuona mabadiliko katika matendo yake, na sio maneno matupu. Ni rahisi kwa viongozi kusema wanaweza kuja kwa wananchi wakati wa kampeni, lakini je, wanajali kweli? Tunaona kwamba wengi wao wanatumia lugha nzuri ili kupata kura, lakini wanaposhika madaraka, wanajitenga na matatizo ya wananchi. Tunashuhudia viongozi wakifanya ahadi ambazo hazitekelezwi, na hatimaye wanarudi kwa raia wakati wa kampeni nyingine, wakitumia maneno kama "mama atosha" kama kivuli cha ukweli wa hali halisi.

Ni muhimu pia kutambua kwamba Rais anapaswa kuwa na washauri wazuri, lakini ni wazi kwamba katika baadhi ya matukio, amekosa ushauri mzuri. Kuwa na washauri wazuri ni muhimu, lakini pia ni jukumu lake mwenyewe kutafakari na kuona ni nini kinachotokea katika jamii. Kufanyika kwa maafa, kama vile vifo vya watu 13, ni dalili tosha ya kwamba kuna haja ya maamuzi ya haraka na ya busara. Kutangaza maombolezo ya kitaifa si tu ni ishara ya kuheshimu waliokufa, bali pia ni njia ya kuonyesha kwamba serikali inajali na inatambua maumivu ya raia wake.

Kwa hivyo, tunahitaji kujiuliza: Je, Rais huyu anatoshea kuendelea kuwa kiongozi wetu? Je, tunahitaji mtu ambaye anaweza kujiweka mbali na matatizo ya raia? Tunahitaji kiongozi ambaye anaweza kuungana na wananchi, ambaye anajali na kuonyesha uongozi wa kweli katika nyakati za shida. Wakati wa uchaguzi wa 2025, ni muhimu kwa wapiga kura kufikiri kwa makini na kufanya maamuzi ambayo yataweza kubadilisha hali hii ya uongozi.

Kwa kumalizia, ni wazi kwamba ni wakati wa kutafakari maisha na vipaumbele vyetu kama taifa. Tunahitaji kiongozi ambaye atajali hisia za wananchi, ambaye atajitolea kwa watu na ambaye ataonyesha uongozi kwa vitendo, si maneno tu. Hii ni nafasi yetu ya kuamua mustakabali wa taifa letu, na ni muhimu kuhakikisha kwamba tunachagua viongozi wanaoleta mabadiliko ya kweli na endelevu.
Lakini rais wa marekani kama una kumbuka vizuri Ali ahirisha na kuludi kwenye inchi yake baada ya kutokea kimbunga,uwepo wake kama mkuu wa inchi ungeweza kuwafanya wahusika waongeze juhudi lakini pia sisi wana inchi na wahanga tunge farijika sana tu.

Pia tunge weza kuona kwamba kiranja mkuu ana jari watu wake mpaka kaludi kuja kujumuika na watu wake kwenye magumu.
 
Nani anajua jeshi la uokoaji wanasomea uokoaji upi? Katika majanga yote, kuna dalili za kutoonyesha utayari. Na mara nyingine hawajui hata waanzie wapi kukabiliana na majanga.
Tunapenda kusingizia vitendea kazi. Hapana. Ni kama vile hawana sababu ya kufanya kazi yao. Kwenye hili la Kariakoo, naamini kama wangeamua na uongozi ukawa wa weledi, kazi kubwa ingekamilika jana.
Raia walijitoa na kufanya kazi ya kufa mtu kuwaokoa wenzao. Ila hao kikosi cha uokoaji sioni wakijitoa kama raia walivyokuwa wakijitoa kuwaokoa wenzao.
 
Inaonekana unavyofikiri tu, umekariri nan ni kweli hujui unachofanya. Wale makuli hawajasoma na hawakagui risiti za fire na uokoaji. Ila wamejitupa ndani ya kazin na wanafanya maajabu.
Kuna kila sababu ya kujua taasisi iliyopo ipo ili kufanya nini? Tunali[ia kodi na hili sio suala la kisiasa. Nini hasa kazi za taasisi na wanajifunza nini? Usikute wanajifunza kukagua risiti na kutoa fine tu 😂 😂 😂 😂
Precison kule Bukoba nalo ni darasa tosha kujiuliza haya maswali
Siku zote wanyonge wanasaidiana wenyewe kwa wenyewe.

Angalia siku ya kwanza walivyojitolea kuwasaidia raia wenzao. Wamejitoa kwa kufa na kupona.

Ila tangu walivyofika hawa wanaojiita vikosi vya uokoaji hakuna wanachofanya.
 
Nilitegemea kuna mafunzo maalumu ya namna ya kuokoa na majanga yakitokea, mafunzo hayo ndio yanatumika kuokoa uhai na mali
 
Kwa wanaume wanaotarajia kuoa yule mama ni mfano bora wa mwanamke wa kuwekwa ndani

Mvumilivu sana...hajibu hovyo...yupo kimya.Hakuna binadamu asiye na mapungufu..sema siasa nazo
 
Back
Top Bottom