tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,894
- 19,779
Ndio ukweli kama familia yko ni kubwa basi wengine waondoke na baba na wengine na mama,unakuta mnajazana kwenye basi moja au gari moja matokeo yake kizazi chote kinapotea[emoji24][emoji24][emoji27][emoji27][emoji27]tunashauriwaga mkiwa ndugu kusafiri wote kwenye usafiri mmoja sio vyema ni basi tu kuna vitu tunavionaga vidogo lakini si vidogo, maana hakuna ajuaye kesho.