tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,894
- 19,779
Ndio ukweli kama familia yko ni kubwa basi wengine waondoke na baba na wengine na mama,unakuta mnajazana kwenye basi moja au gari moja matokeo yake kizazi chote kinapotea[emoji24][emoji24][emoji27][emoji27][emoji27]tunashauriwaga mkiwa ndugu kusafiri wote kwenye usafiri mmoja sio vyema ni basi tu kuna vitu tunavionaga vidogo lakini si vidogo, maana hakuna ajuaye kesho.
aiseeh hii ngumu kumeza, alafu unakutana na ndugu vichwa vya panzi kutaka mali
Mkuu hakuna anayejua saa ya kutwaliwa. Kifo unatembea nacho tena mfuko wa shati. Ingawa kuna vifo vinatokea kwa uzembe na mapungufu ya kibinadamu.Familia nzima na Baba akiwemo munaenda kwenye mahafari ya mtoto wenu wa form 4 shule ya kata ambayo niya bure.....anyway kifo ni kofo kinaweza kukuta popote.
Siku ya graduation alihangaika sana kuwatafuta wazazi wake kwenye simu hawapatikani, kesho yake amawatafuta tena wapi akawapigia jamaa wengine wa hapa Dar nao wakamjibu hata sisi hatuna mawasiliano nao. hivyo hisia anazo ya kwamba nini kimewapata familia yake hajui. Inaumiza sana nduguNamuwaza huyo binti aliyefiwa siku akijuaa.... Yesu amtie nguvu tu kwakweli
Niwewahi kusafiri na familia yangu yote kwenye gari kutoka Tanga mpaka Mwanza. kiukweli inaogopesha sana mkuu.😭😭😰😰😰tunashauriwaga mkiwa ndugu kusafiri wote kwenye usafiri mmoja sio vyema ni basi tu kuna vitu tunavionaga vidogo lakini si vidogo, maana hakuna ajuaye kesho.
Necta inabidi wabadili mifumo yao mitihani maana pepa zile ukikosa ndio imetoka hiyoSasa asizike family yake kisa necta? Sio fair
Kweli mkubwa. Mungu awajaalie hekima ndugu wa wazazi wake watakao mleaYya Mungu mengi
Huo ni UONGOWahaya huwa wana utamaduni flani japo sijuhi kama bado wnaufuta : watu wa familia moja kama ndugu, nk huwa hawavuki kwa kutumia mtumbwi mmoja hata kama una uwezo wa kuwabeba wote, inabidi wavushwe kwa awamu! Hili la familia moja kusafiri kwa chombo kimoja cha usafiri mimi sitakaa nilifanye...