Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si skansika hiyoJana asubuhi kuna mmoja alivaa gari la wanafunzi, bahati wanafunzi walitoka salaama..... leo nkaona boda kaingia uvunguni mwa gari nyingine ya wanafunzi .....
Waendesha vyombo vya moto wanahitaji utulivu sana ktk maamuzi wafanyayoo
Na mimi ndiyo kitu huwa najiuliza Mkuu...Hivi ni kwa nini mtu akishaanza kuendesha bodaboda anabadilika anakuwa kama kichaa hata kama kabla ya kuanza hiyo kazi alikuwa vizuri. Najiulizaga maswali mengi sijui ni ule upepo unaingia kwenye ubongo au ni lile tenki la petrol lililoko karibu na pua ya mwendesha bodaboda?
Ni Petrol, kukosa usingizi, kupita mazingira tatanishi mfano usiku maporini vyote hivyo vinavuruga akili.Hivi ni kwa nini mtu akishaanza kuendesha bodaboda anabadilika anakuwa kama kichaa hata kama kabla ya kuanza hiyo kazi alikuwa vizuri. Najiulizaga maswali mengi sijui ni ule upepo unaingia kwenye ubongo au ni lile tenki la petrol lililoko karibu na pua ya mwendesha bodaboda?
Haya magari yametengenezwa kumlinda mtu aliye ndani. Hivyo impact inakuwa kwa gari ili kunusuru dereva na abiria kwa mbele na ikigongwa impact inabaki kwa gari nyuma ili abiria wasidhurike. Hivyo magari ya siku hizi huharibika sana kama ni ajali kubwaSasa hizi gari si wanasema ni chuma tupu ,kwamba sijaelewa kugongana na pikipiki ndio iwe kama imegongwa na treni.