CCM hiyeeeeeeeeeeMaafisa usafirishaji wa mtandao, maarufu kama bodaboda za mtandao, wamefunga barabara katika eneo la Chuo cha Biashara (CBE) Posta, Jijini Dar es salaam, wakipinga vitendo vya Maafisa wa Jiji kuwakamata wanapoingia katikati ya Jiji kuwachukua abiria walioita usafri kupitia programu za usafirishaji.
Madereva hao, ambao wamedai kuwa hukamatwa mara kwa mara wanapokwenda kuwachukua abiria waliowaagiza kupitia programu za usafirishaji ambapo wameeleza kuwa baada ya kukamatwa hupelekwa katika Ofisi za Jiji huandikiwa kosa la kupaki sehemu isiyoruhusiwa (Wrong Parking) na kutozwa faini ya shilingi 70,000.
“Tunalipa ada kwa kampuni za usafirishaji wa mtandao na tunafuata masharti yote ya kazi. Lakini kila tunapokwenda kumchukua abiria tunaishia kukamatwa kwa madai ya ‘Wrong Parking’. Askari wanatupeleka ofisi za Jiji na tunatakiwa kulipa shilingi 70,000. Tumechoka na hali hii.
Kama hatutakiwi kufanya kazi katikati ya jiji, basi waelekezwe kampuni za usafirishaji wa mtandao zifunge huduma hizo katika eneo hilo ili tusiendelee kupata hasara,” amesema mmoja wa madereva wa teksi za mtandao
okay,Maafisa usafirishaji wa mtandao, maarufu kama bodaboda za mtandao, wamefunga barabara katika eneo la Chuo cha Biashara (CBE) Posta, Jijini Dar es salaam, wakipinga vitendo vya Maafisa wa Jiji kuwakamata wanapoingia katikati ya Jiji kuwachukua abiria walioita usafri kupitia programu za usafirishaji.
Madereva hao, ambao wamedai kuwa hukamatwa mara kwa mara wanapokwenda kuwachukua abiria waliowaagiza kupitia programu za usafirishaji ambapo wameeleza kuwa baada ya kukamatwa hupelekwa katika Ofisi za Jiji huandikiwa kosa la kupaki sehemu isiyoruhusiwa (Wrong Parking) na kutozwa faini ya shilingi 70,000.
“Tunalipa ada kwa kampuni za usafirishaji wa mtandao na tunafuata masharti yote ya kazi. Lakini kila tunapokwenda kumchukua abiria tunaishia kukamatwa kwa madai ya ‘Wrong Parking’. Askari wanatupeleka ofisi za Jiji na tunatakiwa kulipa shilingi 70,000. Tumechoka na hali hii.
Kama hatutakiwi kufanya kazi katikati ya jiji, basi waelekezwe kampuni za usafirishaji wa mtandao zifunge huduma hizo katika eneo hilo ili tusiendelee kupata hasara,” amesema mmoja wa madereva wa teksi za mtandao
Wakiambiwa nchi imeoza si hawaelewi mwishowe wakijaziwa mafuta wanashangilia,,,hawakujua system yetu kama mtego wa panya, unakamata wote aliyekula nguo na asiyekulaMaafisa usafirishaji wa mtandao, maarufu kama bodaboda za mtandao, wamefunga barabara katika eneo la Chuo cha Biashara (CBE) Posta, Jijini Dar es salaam, wakipinga vitendo vya Maafisa wa Jiji kuwakamata wanapoingia katikati ya Jiji kuwachukua abiria walioita usafri kupitia programu za usafirishaji.
Madereva hao, ambao wamedai kuwa hukamatwa mara kwa mara wanapokwenda kuwachukua abiria waliowaagiza kupitia programu za usafirishaji ambapo wameeleza kuwa baada ya kukamatwa hupelekwa katika Ofisi za Jiji huandikiwa kosa la kupaki sehemu isiyoruhusiwa (Wrong Parking) na kutozwa faini ya shilingi 70,000.
“Tunalipa ada kwa kampuni za usafirishaji wa mtandao na tunafuata masharti yote ya kazi. Lakini kila tunapokwenda kumchukua abiria tunaishia kukamatwa kwa madai ya ‘Wrong Parking’. Askari wanatupeleka ofisi za Jiji na tunatakiwa kulipa shilingi 70,000. Tumechoka na hali hii.
Kama hatutakiwi kufanya kazi katikati ya jiji, basi waelekezwe kampuni za usafirishaji wa mtandao zifunge huduma hizo katika eneo hilo ili tusiendelee kupata hasara,” amesema mmoja wa madereva wa teksi za mtandao
umepata mlo wa mchana? posho buku7 mpaka kiongozi afurahi sio kazi ndogo. Kuna siku mwenzenu mmoja kapewa hela akagawie chawa wenzake akalala nazo mbereokay,
I hope responsible authority is going to take every measure possible to sort the little issue.
ni muhimu sana kua wastahilivu na wenye subra, everything gonna be alright as soon as possible 🐒
jikite kwenye hoja mahususi mezani gentleman bila kuweweseka na itapendeza zaidi 🐒umepata mlo wa mchana? posho buku7 mpaka kiongozi afurahi sio kazi ndogo. Kuna siku mwenzenu mmoja kapewa hela akagawie chawa wenzake akalala nazo mbere
Kila mtu atafikiwa kwa wakati wake; mpaka wote tuongee lugha moja!Maafisa usafirishaji wa mtandao, maarufu kama bodaboda za mtandao, wamefunga barabara katika eneo la Chuo cha Biashara (CBE) Posta, Jijini Dar es salaam, wakipinga vitendo vya Maafisa wa Jiji kuwakamata wanapoingia katikati ya Jiji kuwachukua abiria walioita usafri kupitia programu za usafirishaji.
Madereva hao, ambao wamedai kuwa hukamatwa mara kwa mara wanapokwenda kuwachukua abiria waliowaagiza kupitia programu za usafirishaji ambapo wameeleza kuwa baada ya kukamatwa hupelekwa katika Ofisi za Jiji huandikiwa kosa la kupaki sehemu isiyoruhusiwa (Wrong Parking) na kutozwa faini ya shilingi 70,000.
“Tunalipa ada kwa kampuni za usafirishaji wa mtandao na tunafuata masharti yote ya kazi. Lakini kila tunapokwenda kumchukua abiria tunaishia kukamatwa kwa madai ya ‘Wrong Parking’. Askari wanatupeleka ofisi za Jiji na tunatakiwa kulipa shilingi 70,000. Tumechoka na hali hii.
Kama hatutakiwi kufanya kazi katikati ya jiji, basi waelekezwe kampuni za usafirishaji wa mtandao zifunge huduma hizo katika eneo hilo ili tusiendelee kupata hasara,” amesema mmoja wa madereva wa teksi za mtandao
Wewe vuvuzela ungenyamaza tu.okay,
I hope responsible authority is going to take every measure possible to sort the little issue.
ni muhimu sana kua wastahilivu na wenye subra, everything gonna be alright as soon as possible 🐒
Who are you?okay,

Naam safi sana , ipo siku CCM itashangzwa
.....
Maandamano ya bila taarifa kama haya yatakapoibuka siku moja ndio wataona hata policcm hawatoshi.
Nimekuelewa sana hapo maandamano yasiyo na taarifa wala tarehe maalum