Maafisa Utumishi wagoma kuruhusu Mabenki kutoa mikopo ya watumishi. Yawezekana ni hujuma?

Hivi mi dereva, mlinzi au mhudumu HESLB wananidai nini? au HESLB wanatoa mikopo mpk driving school?
Mzee inabidi uelewe, nchi zetu hizi zinazoendelea, kukishakuwa na sintofahamu yeyote kwa kundi kubwa, jua hata madogo madogo yasiyohusika yataathirika tuu.
 
Si ndiyo wanafanyiwa recategorization mkuu?
Ok-Before recategorization manake still huyo mtumishi ataendelea kuwa na post hyo hyo ya udereva unless apate nafasi inayoendana nae and Therefore, ni sahihi na dereva kuwa verified kama ni mnufaika wa mkopo au laa
 
Sidhani mkuu maana sasahivi bodi wanatuma majina kwa kila taasisi ya wanufaika mikopo, pia kabla ya kupewa cheque no lazima wajiridhishe kwenye bodi
 
Lakini ukumbuke kuwa watu wengine tulichelewa kuanza kukatwa licha ya majina yetu kuwa submitted on time-take that into account-Verification inafanywa na all parties mkuu-Hata wewe kama ni mnufaika una wajibu wa kumtaarifu mwajiri na bodi endapo inatokea hukatwi.
 
Watumishi wengi wanadaiwa na HESLB. Kwasasa HESLB wamesitisha mfumo wao wa kucheck statement. Na hicho ndo kikwazo.
Haya majibu ni rasmi? Na ni kwa nini yanatolewa hapa na siyo kwa walengwa? Na je,itachukua muda gani kukamilisha hilo zoezi?
 
Unaongea jambo ambalo hulijui

Kwa taarifa yako toka week iliyopita kulikuwa na tatizo la mfumo Utumishi hivyo hata kuingia kwenye accaunt za watumishi ufanye chochote ilishindikana, sasa ulitaka upewe tu pesa za watu wakati hawaja allocate makato kwenye system??
 
Ni majuzi tuu tuishuhudia mfumo wa Lulu au ulipaji umeme ukihujumiwa na kuzua keep kwa watumiaji umeme nchi nzima. Ambapo Baada ya Waziri Mkuu kuingilia kati, na massa machache baadae tatizo likaisha.
Tatizo halijaisha mkuu, Nilinunua umeme siku hiyo ya tatizo kabla tatizo halijaiulikana kupitia tigo pesa,fedha ikakatwa token nikatumiwa lakini ziligoma kuingia.

Nilienda ofisi za TANESCO wakaorodhesha muamala wangu nikaambiwa linafanyiwa kazi. Nitatumiwa token mpya,lakini mpaka leo hakuna Token nimepokea.
 
Mfumo umesimamishwa kwa muda, hivyo ma HR hawawezi jua chochote, na ndio maana baadhi yao, sio wote, wamesimamisha hilo zoezi.
Ni kwa nini kabla ya kusimamisha hilo zoezi wasingewapa taarifa hao Watumishi au Mabenki? Au Watumishi hao hawakustahili kujulishwa?
 
Tembelea website ya HESLB utaliona hilo tangazo.
heslb.go.tz

NEWS & EVENTS
Home | Utekelezaji wa Kufutwa Tozo ya VRF

3
May 2021

Utekelezaji Wa Kufutwa Tozo Ya VRF
Kufuatia maelekezo ya Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya kufutwa kwa Tozo ya Kutunza Thamani ya Fedha (VRF) Mei 1, 2021, tunapenda kuwataarifu wateja wetu yafuatayo:
1) Tumeanza kufanyia kazi maelekezo hayo kwa kupitia mifumo ya TEHAMA (configuration exercise) yenye taarifa za madeni ya wateja;
2) Kwa sasa, wateja wetu wawe watulivu na taarifa za ziada zitakuwa zinatolewa mara kwa mara kupitia tovuti hii na mitandao yetu ya kijamii; na
3) Kwa maswali, tuma barua pepe kwenda repayment@heslb.go.tz au WhatsApp kwa namba 0739 66 55 33
Aidha, tunapenda kutoa shukrani kwa Mheshimiwa Rais kwa kutambua kazi tunayoifanya hususan ukusanyaji wa mikopo ambao umeongezeka kutoka TZS 28.2 bilioni (2015/2016) hadi TZS 192 bilioni mwaka 2019/2020.
Tunaahidi kuendeleza kazi kwa kutambua kauli mbiu ya Mheshimiwa Rais - KAZI IENDELEE!

Imetolewa na:
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu,
Dar es salaam.
Jumapili, Mei 2, 2021.

My take: Hili tangazo halionyeshi chochote kuhusu mada yangu!!!
 
Usiwe mbishi mkuu, mm mwenyewe ni muhanga wa hiyo taarifa uliyotoa. Na hicho nilichokuambia ndicho sababu. Sasa kama unadhani kuna sababu nyingine endelea kusubiri.
 
Lakini ukumbuke kuwa watu wengine tulichelewa kuanza kukatwa licha ya majina yetu kuwa submitted on time-take that into account-Verification inafanywa na all parties mkuu-Hata wewe kama ni mnufaika una wajibu wa kumtaarifu mwajiri na bodi endapo inatokea hukatwi.
Acha masihara mkuu yaan nimuwajibishe mwajiri anikate hii ngumu sana
 
Back
Top Bottom