Ina maana siku hizi salary slips hazitolewi?! Ina maana siku hizi benki hazitumii salary slips ku-evaluate kiasi cha mkopo ambacho mtumishi anastahili?! Au hizo salary slips hazitaji kiwango cha mkopo wa HELSB?Sasa mkuu utajuaje mtumishi anadaiwa au laa pasipo ku access mfumo wa HESLB?
Kama ndivyo, basi TZ watu mmeendelea kweli kweli manake kila kitu, ni mambo ya digijitali!!