Guu la Tembo
Member
- Nov 14, 2019
- 79
- 106
Mzee inabidi uelewe, nchi zetu hizi zinazoendelea, kukishakuwa na sintofahamu yeyote kwa kundi kubwa, jua hata madogo madogo yasiyohusika yataathirika tuu.Hivi mi dereva, mlinzi au mhudumu HESLB wananidai nini? au HESLB wanatoa mikopo mpk driving school?
Ok-Before recategorization manake still huyo mtumishi ataendelea kuwa na post hyo hyo ya udereva unless apate nafasi inayoendana nae and Therefore, ni sahihi na dereva kuwa verified kama ni mnufaika wa mkopo au laaSi ndiyo wanafanyiwa recategorization mkuu?
Ni urasimu. OverMzee inabidi uelewe, nchi zetu hizi zinazoendelea, kukishakuwa na sintofahamu yeyote kwa kundi kubwa, jua hata madogo madogo yasiyohusika yataathirika tuu.
Sidhani mkuu maana sasahivi bodi wanatuma majina kwa kila taasisi ya wanufaika mikopo, pia kabla ya kupewa cheque no lazima wajiridhishe kwenye bodiOk-Before recategorization manake still huyo mtumishi ataendelea kuwa na post hyo hyo ya udereva unless apate nafasi inayoendana nae and Therefore, ni sahihi na dereva kuwa verified kama ni mnufaika wa mkopo au laa
Lakini ukumbuke kuwa watu wengine tulichelewa kuanza kukatwa licha ya majina yetu kuwa submitted on time-take that into account-Verification inafanywa na all parties mkuu-Hata wewe kama ni mnufaika una wajibu wa kumtaarifu mwajiri na bodi endapo inatokea hukatwi.Sidhani mkuu maana sasahivi bodi wanatuma majina kwa kila taasisi ya wanufaika mikopo, pia kabla ya kupewa cheque no lazima wajiridhishe kwenye bodi
Haya majibu ni rasmi? Na ni kwa nini yanatolewa hapa na siyo kwa walengwa? Na je,itachukua muda gani kukamilisha hilo zoezi?Watumishi wengi wanadaiwa na HESLB. Kwasasa HESLB wamesitisha mfumo wao wa kucheck statement. Na hicho ndo kikwazo.
Tatizo halijaisha mkuu, Nilinunua umeme siku hiyo ya tatizo kabla tatizo halijaiulikana kupitia tigo pesa,fedha ikakatwa token nikatumiwa lakini ziligoma kuingia.Ni majuzi tuu tuishuhudia mfumo wa Lulu au ulipaji umeme ukihujumiwa na kuzua keep kwa watumiaji umeme nchi nzima. Ambapo Baada ya Waziri Mkuu kuingilia kati, na massa machache baadae tatizo likaisha.
Ni kwa nini kabla ya kusimamisha hilo zoezi wasingewapa taarifa hao Watumishi au Mabenki? Au Watumishi hao hawakustahili kujulishwa?Mfumo umesimamishwa kwa muda, hivyo ma HR hawawezi jua chochote, na ndio maana baadhi yao, sio wote, wamesimamisha hilo zoezi.
Mzee hizi ndo changamoto tunazopitia nchi maskini. Kwa kweli taarifa ni muhimu sanaNi kwa nini kabla ya kusimamisha hilo zoezi wasingewapa taarifa hao Watumishi au Mabenki? Au Watumishi hao hawakustahili kujulishwa?
dogo acha ubishi, unamaanisha kubadilisha kada lakini hiyo ina taratibu zake... acha ujuaji na ubishi wa kukaririUna elewa maana ya recategorization mkuu?
Kwamba chukua chako tembea , wajukuu watajijua ...nchi ishaparanganyika hiiNchi ipo sokoni mkuu ni wewe na bei yako
Tembelea website ya HESLB utaliona hilo tangazo.Haya majibu ni rasmi? Na ni kwa nini yanatolewa hapa na siyo kwa walengwa? Na je,itachukua muda gani kukamilisha hilo zoezi?
Hii nayo inaweza kuwa imechangia salary slips za mwezi May zisionekane Watumishi portal hadi leo?Watumishi wengi wanadaiwa na HESLB. Kwasasa HESLB wamesitisha mfumo wao wa kucheck statement. Na hicho ndo kikwazo.
ProbablyHii nayo inaweza kuwa imechangia salary slips za mwezi May zisionekane Watumishi portal hadi leo?
heslb.go.tzTembelea website ya HESLB utaliona hilo tangazo.
Usiwe mbishi mkuu, mm mwenyewe ni muhanga wa hiyo taarifa uliyotoa. Na hicho nilichokuambia ndicho sababu. Sasa kama unadhani kuna sababu nyingine endelea kusubiri.heslb.go.tz
NEWS & EVENTS
Home | Utekelezaji wa Kufutwa Tozo ya VRF
3
May 2021
Utekelezaji Wa Kufutwa Tozo Ya VRF
Kufuatia maelekezo ya Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya kufutwa kwa Tozo ya Kutunza Thamani ya Fedha (VRF) Mei 1, 2021, tunapenda kuwataarifu wateja wetu yafuatayo:
1) Tumeanza kufanyia kazi maelekezo hayo kwa kupitia mifumo ya TEHAMA (configuration exercise) yenye taarifa za madeni ya wateja;
2) Kwa sasa, wateja wetu wawe watulivu na taarifa za ziada zitakuwa zinatolewa mara kwa mara kupitia tovuti hii na mitandao yetu ya kijamii; na
3) Kwa maswali, tuma barua pepe kwenda repayment@heslb.go.tz au WhatsApp kwa namba 0739 66 55 33
Aidha, tunapenda kutoa shukrani kwa Mheshimiwa Rais kwa kutambua kazi tunayoifanya hususan ukusanyaji wa mikopo ambao umeongezeka kutoka TZS 28.2 bilioni (2015/2016) hadi TZS 192 bilioni mwaka 2019/2020.
Tunaahidi kuendeleza kazi kwa kutambua kauli mbiu ya Mheshimiwa Rais - KAZI IENDELEE!
Imetolewa na:
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu,
Dar es salaam.
Jumapili, Mei 2, 2021.
My take: Hili tangazo halionyeshi chochote kuhusu mada yangu!!!
Acha masihara mkuu yaan nimuwajibishe mwajiri anikate hii ngumu sanaLakini ukumbuke kuwa watu wengine tulichelewa kuanza kukatwa licha ya majina yetu kuwa submitted on time-take that into account-Verification inafanywa na all parties mkuu-Hata wewe kama ni mnufaika una wajibu wa kumtaarifu mwajiri na bodi endapo inatokea hukatwi.