Kwa maoni yako, hilo tangazo linakidhi kama majibu sahihi kwa mada yangu? Jamani, tuweni wakweli!!! Tuna Manesi,waalimu hata hicho chuo kikuu na loan bodi zako hawavijui, wanahusikaje? Watanzania ni nini kimetupata kwenye bongo zetu?Usiwe mbishi mkuu, mm mwenyewe ni muhanga wa hiyo taarifa uliyotoa. Na hicho nilichokuambia ndicho sababu. Sasa kama unadhani kuna sababu nyingine endelea kusubiri.
Sasa mkuu wewe umeuliza Maswali kwenye forum ukiwa na expectation ya kupata majibu,then majibu yanatolewa na wadau kwendana na uelewa wao juu ya jambo husika alafu unayapinga as if you know something-Share unachokijua kila mtu aeleweKwa maoni yako, hilo tangazo linakidhi kama majibu sahihi kwa mada yangu? Jamani, tuweni wakweli!!! Tuna Manesi,waalimu hata hicho chuo kikuu na loan bodi zako hawavijui, wanahusikaje? Watanzania ni nini kimetupata kwenye bongo zetu?
Ha ha ha , Jamii Forum bana.Sasa mkuu wewe umeuliza Maswali kwenye forum ukiwa na expectation ya kupata majibu,then majibu yanatolewa na wadau kwendana na uelewa wao juu ya jambo husika alafu unayapinga as if you know something-Share unachokijua kila mtu aelewe
Wee jamaa sijui huwa unasoma ukaelewa tunachokwambia?? Tumeshakwambia asilimia kubwa ya watumishi ni wadaiwa, ww bado hutakii tuu??? Tumekwambia kwa nchi zetu hizi jambo likishaathiri walio wengi hata wachache pia huathirika. Ww bado tuu hutaki kuelewa daah, kazi kweli kweli.Kwa maoni yako, hilo tangazo linakidhi kama majibu sahihi kwa mada yangu? Jamani, tuweni wakweli!!! Tuna Manesi,waalimu hata hicho chuo kikuu na loan bodi zako hawavijui, wanahusikaje? Watanzania ni nini kimetupata kwenye bongo zetu?
Mkuu nakushauri unapokuwa unaelewesha uwe mvumilivu,Wee jamaa sijui huwa unasoma ukaelewa tunachokwambia?? Tumeshakwambia asilimia kubwa ya watumishi ni wadaiwa, ww bado hutakii tuu??? Tumekwambia kwa nchi zetu hizi jambo likishaathiri walio wengi hata wachache pia huathirika. Ww bado tuu hutaki kuelewa daah, kazi kweli kweli.
Wee rafiki, uliwahi kukutana na sura ya mzazi akikuomba fedha Ya kukamilisha ada ya mwaka wa mwisho (wa tano) ya mtoto wake aliyesimamishwa masomo ya udakitari?Wee jamaa sijui huwa unasoma ukaelewa tunachokwambia?? Tumeshakwambia asilimia kubwa ya watumishi ni wadaiwa, ww bado hutakii tuu??? Tumekwambia kwa nchi zetu hizi jambo likishaathiri walio wengi hata wachache pia huathirika. Ww bado tuu hutaki kuelewa daah, kazi kweli kweli.
We Popoma Naipendatz na wewe Scaramanga bado mnabisha kuwa lawson ilikuwa na tatizo?Unaongea jambo ambalo hulijui
Kwa taarifa yako toka week iliyopita kulikuwa na tatizo la mfumo Utumishi hivyo hata kuingia kwenye accaunt za watumishi ufanye chochote ilishindikana, sasa ulitaka upewe tu pesa za watu wakati hawaja allocate makato kwenye system??
Huyu ni mmoja wa ujinga huu MkuuUsiwe mbishi mkuu, mm mwenyewe ni muhanga wa hiyo taarifa uliyotoa. Na hicho nilichokuambia ndicho sababu. Sasa kama unadhani kuna sababu nyingine endelea kusubiri.
Nchi nzima Mkuu benki zote wanalalamikaMaafisa utumishi halmashauri gani???
Mkuu umenichekesha sana. PoleHivi mi dereva, mlinzi au mhudumu HESLB wananidai nini? au HESLB wanatoa mikopo mpk driving school?