Ina maana siku hizi salary slips hazitolewi?! Ina maana siku hizi benki hazitumii salary slips ku-evaluate kiasi cha mkopo ambacho mtumishi anastahili?! Au hizo salary slips hazitaji kiwango cha mkopo wa HELSB?Sasa mkuu utajuaje mtumishi anadaiwa au laa pasipo ku access mfumo wa HESLB?
Possible Serikali inahujumu wachukue hatua mapema.Haiwezekeni nchi nzima Mabenki yote.Walalamike kuhusu mfumo wa Lwason kushindwa kuwahudumia Wateja wao.Hapo Kuna upigaji au kunajambo wanataka kuficha/Upigaji.Sasa hivi malipo mengi ya online yanasumbua, hadi malipo ya maji!!!!
Ina maana siku hizi salary slips hazitolewi?! Ina maana siku hizi benki hazitumii salary slips ku-evaluate kiasi cha mkopo ambacho mtumishi anastahili?! Au hizo salary slips hazitaji kiwango cha mkopo wa HELSB?
Kama ndivyo, basi TZ watu mmeendelea kweli kweli manake kila kitu, ni mambo ya digijitali!!
Inawezekana kukawa na ukweli ila cha muhimu ni taarifa toka kwenye chanzo sahihi na kwa wakati sahihi. Watu wako strandedVumilieni. Sasa hivi Mfumo wa Lawson unatumika ku upload OPRAS za watumishi wanaopanda madaraja. Zoezi hilo linatakiwa kukamilika kabla ya tarehe 12/6/2021. Baada ya hapo mambo yatakuwa mswano!!inaweza kuwa
IVumilieni. Sasa hivi Mfumo wa Lawson unatumika ku upload OPRAS za watumishi wanaopanda madaraja. Zoezi hilo linatakiwa kukamilika kabla ya tarehe 12/6/2021. Baada ya hapo mambo yatakuwa mswano!!
Vipi kwa wale wasio na mikopo ya HESLB,mbona na wao wamekwamishwa?Makato ya watumishi HESLB yanarekebishwa! Sasa kama hujui kama kuna muingiliano hapo na hela mtu anayotaka kukopa sina cha kukusaidia.
Wewe ndio nimekuelewa.Vumilieni. Sasa hivi Mfumo wa Lawson unatumika ku upload OPRAS za watumishi wanaopanda madaraja. Zoezi hilo linatakiwa kukamilika kabla ya tarehe 12/6/2021. Baada ya hapo mambo yatakuwa mswano!!
There is that possibility. Lakini kiukweli Serikali haipandishagi madaraja watumishi wote mwezi mmoja. Hivyo basi, kuna uwezekano wakaanza kupanda June wakaenda hadi Oktoba hivi. Ila ujue Mimi sio "Msemaji" ingawa nami nategemea kupanda!!!!Wewe ndio nimekuelewa.
Swali:
Madaraja mapya yataanza kusomeka end of june?
Hahahah umejimwambafy kisaikolojia mkuuThere is that possibility. Lakini kiukweli Serikali haipandishagi madaraja watumishi wote mwezi mmoja. Hivyo basi, kuna uwezekano wakaanza kupanda June wakaenda hadi Oktoba hivi. Ila ujue Mimi sio "Msemaji" ingawa nami nategemea kupanda!!!!
Hao wasiodaiwa na HESLB kwa nini wasikopeshwe?Watumishi wengi wanadaiwa na HESLB. Kwasasa HESLB wamesitisha mfumo wao wa kucheck statement. Na hicho ndo kikwazo.
Kwamba mfumo wa Lawson hauna uwezo wa kupokea multi task? basi tuna kazi kubwa sana kama taifa,tumevamia mambo ya kizungu bila uwezoVumilieni. Sasa hivi Mfumo wa Lawson unatumika ku upload OPRAS za watumishi wanaopanda madaraja. Zoezi hilo linatakiwa kukamilika kabla ya tarehe 12/6/2021. Baada ya hapo mambo yatakuwa mswano!!
Na mimi nimeshangaa.Kwamba mfumo wa Lawson hauna uwezo wa kupokea multi task? basi tuna kazi kubwa sana kama taifa,tumevamia mambo ya kizungu bila uwezo
Heslb wanadai hawajapata muongozo wa kutoa statements inaonekana retention fee ilikua ni upigaji wamechukia balaaWatumishi wengi wanadaiwa na HESLB. Kwasasa HESLB wamesitisha mfumo wao wa kucheck statement. Na hicho ndo kikwazo.
Hapo sasa, Itakuwa n mfumo wa hovyo kama hauna mult task! Vinginevyo wanafanya uhujumu uchumi.Kwamba mfumo wa Lawson hauna uwezo wa kupokea multi task? basi tuna kazi kubwa sana kama taifa,tumevamia mambo ya kizungu bila uwezo