Wanabodi, salaam sana kama ni kweli kuwa hii ndio idadi ya watumishi ambao wameshaingizwa kwenye mfumo mpaka sasa hivi, basi nchi hii tunahitaji maombezi makubwa, pia inaonyesha kuwa baadhi ya halmashauri hawajatuma kabisa hata idadi ya watumishi wanaostahili kupanda. Yaani pamoja na mikwala yote ile ya Waziri wa utumishi Mohamed Mchengelwa bado kuna watu wanambipu.
My take, tusubiri vilio vikubwa toka kwa watumishi waliotegemea kuona mabadiliko kwenye mishahara yao mwezi huu wa sita toka halmashauri mbalimbali nchini.
My take, tusubiri vilio vikubwa toka kwa watumishi waliotegemea kuona mabadiliko kwenye mishahara yao mwezi huu wa sita toka halmashauri mbalimbali nchini.