Maafisa Utumishi wanaleta utani juu ya Watumishi kupanda madaraja, angalia kinachoendelea baadhi ya Halmashauri

Maafisa Utumishi wanaleta utani juu ya Watumishi kupanda madaraja, angalia kinachoendelea baadhi ya Halmashauri

Moja ya kazi ambazo zinatakiwa kufanywa kwa weledi na kuheshimu sheria,kanuni na miongozo ni uafisa utumishi.
Hapo ndio chanzo cha kuwaona wanajidai na miungu watu ila kimsingi ukifuatilia ni majungu na kutokuelewa kwa kanuni kwa watumishi walio wengi.
 
Kati ya watu ambao Wana roho mbaya ni maafisa utumishi wa Tanzania, Awana la maana wanalofanya ofisini zaidi yakukusanya taarifa za waliokosea wawachukulie adhabu. For years Hawa watu wamekuwa wakijiona Miungu watu. Kabla sijastaafu ilikuwa ukienda halmashauri kutoka kijijini lazima ulale siku mbili Hadi tatu kusubiri wakusikilize. Wamechelewesha mafanikio ya watu na kuwafanya wastaafu kufariki wakiwa wanafuatilia haki zao.

Sishangai baadhi ya halmashauri kuwa na zero data za promotion maana naamini maafisa utumishi hata kujua ana watumishi wangapi yawezekana hajui.

Mfano nikiangalia jana taarifa ya Wizara ya Mambo ya Ndani, unabaini kabisa baadhi ya vyombo maafisa utumishi awajapeleka data sahihi za wanaotakiwa kupanda vyeo. Upo utofauti mkubwa sana Kati ya Polisi na Magereza.

Viongozi wajuu wasipofanya zoezi la upandaji vyeo kuwa zoezi la wazi na wakaweka vigezo wazi wenye sifa waweze kujipima na kutoa mashauri yao pale wanapodhulumiwa bado maafisa utumishi wataendelea kuumiza watu.

Sisi tulikuwa tunaambiwa kupanda cheo siyo haki ya mtumishi na uwezi kulazimisha upandishwe cheo, mwajiri ndiye mwenye mamlaka na ukihoji unapewa hati ya mashtaka ya nidhamu. Hii Hali naamini Hadi Sasa inaendelea
 
SINGIDA DC pia mkuu watendaji kata na watendaji wa vijiji hawajapandishwa madaraja na Afisa utumishi anajibu nyodo ANASEMA ye hadili na watendaji wa vijiji na wa kata kwani muundo wao wa utumishi Ni tofauti na watumishi wengine nchini
Acha Ukuda wewe.
 
Tarehe ya leo ilikuwa tarehe ya mwisho kuingizwa kwenye mfumo.
Baada ya muda kufika,wale Maafisa Utumishi watakaoshindwa kukamilisha kuwaingiza watumishi wa Halmashauri zao,ifikapo Jumatatu tarehe 14/6 wawe wamesimamishwa kazi na Wakurugenzi wao.
Siyo wasimamishwe wafukuzwe kabisa, issue siyo kuingiza data. Issue wanaotakiwa kupanda wanajua vigezo ili wakate rufaa? Mchakato huu unakuwaga wa Siri na si shirikishi, ukiuliza kwanini utasikia IKAMA,. Nina umia sana kuona mtu asiyetoa fedha mfukoni mwake anawanyima haki wenye haki kulipwa maslahi yao
 
Haya ndio nilikuwa nayasema na hii ndio Tanzania.

Mtalaum sana lakin pamoja na ubovu wa maafisa utumishi naamini yapo maelekezo kwamba wafanye hivyo wanavyofanya ili ionekane serikali ipo tayari kulipa mshahara stahiki Kwa watumishi wote Ila uzembe wamefanya maafisa utumishi
 
Wanabodi, salaam sana kama ni kweli kuwa hii ndio idadi ya watumishi ambao wameshaingizwa kwenye mfumo mpaka sasa hivi, basi nchi hii tunahitaji maombezi makubwa, pia inaonyesha kuwa baadhi ya halmashauri hawajatuma kabisa hata idadi ya watumishi wanaostahili kupanda. Yaani pamoja na mikwala yote ile ya Waziri wa utumishi Mohamed Mchengelwa bado kuna watu wanambipu. My take, tusubiri vilio vikubwa toka kwa watumishi waliotegemea kuona mabadiliko kwenye mishahara yao mwezi huu wa sita toka halmashauri mbalimbali nchini.
View attachment 1816050
Unaangaliae ili kuipata hiyo list....???
 
Tarehe ya leo ilikuwa tarehe ya mwisho kuingizwa kwenye mfumo.
Baada ya muda kufika,wale Maafisa Utumishi watakaoshindwa kukamilisha kuwaingiza watumishi wa Halmashauri zao,ifikapo Jumatatu tarehe 14/6 wawe wamesimamishwa kazi na Wakurugenzi wao.
Watabaki kulindana tu.
 
Wanabodi, salaam sana kama ni kweli kuwa hii ndio idadi ya watumishi ambao wameshaingizwa kwenye mfumo mpaka sasa hivi, basi nchi hii tunahitaji maombezi makubwa, pia inaonyesha kuwa baadhi ya halmashauri hawajatuma kabisa hata idadi ya watumishi wanaostahili kupanda. Yaani pamoja na mikwala yote ile ya Waziri wa utumishi Mohamed Mchengelwa bado kuna watu wanambipu. My take, tusubiri vilio vikubwa toka kwa watumishi waliotegemea kuona mabadiliko kwenye mishahara yao mwezi huu wa sita toka halmashauri mbalimbali nchini.
View attachment 1816050
Lete orodha yenye kuanzia namba 1,orodha uliyoipost imeanzia 40-60
 
Nakupa hiyo mkuu nenda kajionee mwenyewe watu hawajui kusoma miongozo na wamekalia viti vya kuzunguka Ngoja zoezi lifungwe ndio utajua ukuda huu au ukweli
Sasa viti vya kuzunguka vina shida gani? Mzee ulitaka watu wakalie vigoda ofisini.
 
Wanabodi, salaam sana kama ni kweli kuwa hii ndio idadi ya watumishi ambao wameshaingizwa kwenye mfumo mpaka sasa hivi, basi nchi hii tunahitaji maombezi makubwa, pia inaonyesha kuwa baadhi ya halmashauri hawajatuma kabisa hata idadi ya watumishi wanaostahili kupanda. Yaani pamoja na mikwala yote ile ya Waziri wa utumishi Mohamed Mchengelwa bado kuna watu wanambipu. My take, tusubiri vilio vikubwa toka kwa watumishi waliotegemea kuona mabadiliko kwenye mishahara yao mwezi huu wa sita toka halmashauri mbalimbali nchini.
View attachment 1816050
Waziri angefuatilia hii issue kabla ya deadline kuona takwimu za uingizaji wa majina kwenye mfumo zipo vipi.Hawa maafisa utumishi kwenye halmashauri nyingi ni wabinafsi hawajali kabisa maslahi ya watumishi wenzao .Kuna halmashauri zimefanikiwa kuingiza majina ya watumishi karibia kwa 90% lakini zingine eti 0% halafu mtu anaendelea kuwa ofisini anafanya nini? Aisee hii nchi kwenye baadhi ya vitu inabidi twende kibabe la sivyo kundi la chini litaumia Sana
 
Msumari wa mwisho unapigwa na kasungura kenyewe kadogo, tuwe wazalendo. Hii ni baada ya kimeet criteria zote za promotion
 
Wanabodi, salaam sana kama ni kweli kuwa hii ndio idadi ya watumishi ambao wameshaingizwa kwenye mfumo mpaka sasa hivi, basi nchi hii tunahitaji maombezi makubwa, pia inaonyesha kuwa baadhi ya halmashauri hawajatuma kabisa hata idadi ya watumishi wanaostahili kupanda. Yaani pamoja na mikwala yote ile ya Waziri wa utumishi Mohamed Mchengelwa bado kuna watu wanambipu.

My take, tusubiri vilio vikubwa toka kwa watumishi waliotegemea kuona mabadiliko kwenye mishahara yao mwezi huu wa sita toka halmashauri mbalimbali nchini.

View attachment 1816050
1623573108389.png
Mbunge wao alisema "...awe wa milele"
 
Mtalaum sana lakin pamoja na ubovu wa maafisa utumishi naamini yapo maelekezo kwamba wafanye hivyo wanavyofanya ili ionekane serikali ipo tayari kulipa mshahara stahiki Kwa watumishi wote Ila uzembe wamefanya maafisa utumishi
Maelekezo ndani ya maelekezo.Niliwahi kuisikia iyo mkuu kitambo. Waraka unaweza kuuona Na kuusoma vizuri lakini ukifika kwa ma-HRO's unasindikizwa Na maelekezo ya SIRI
 
Back
Top Bottom