Maafisa Utumishi wanaleta utani juu ya Watumishi kupanda madaraja, angalia kinachoendelea baadhi ya Halmashauri

Mchengelwa ni mkwe wa Mama....aonyeshe mfano isije kuwa habebeki ...atoe makucha
 
Hawa ni walimu wale wanaofanya CCM kila siku itutawale...

Sisi wengine maisha ni poa kabisaa.

Ngoja wao wakomae na waliowaibia kura ili wasitoke madarakani.

#YNWA
Am so neutral man ..ila hii nchi ina mifumo kandanimizi sana ... Hatutakiwi kuwa na viongozi bora Bali taasisi bora ..ndio shida tulio nayo .... Hata kama una haki ukifatilia wanakupotezea mpaka upate mkuu wa idara mwenye hofu ya Mungu.. Nashukuru nimepanda kwa wakati kila wakati ulipofika .... Kada ambazo mshahara yake inatoka vifungu vya utawala kupanda ni shida wapi wengi mnooo.. Akikosena afisa utumishi mwemye busara ... Ni shida sana ...
 
Tatizo halikua kwa HR, tatizo lilikua kwa MAGU A.K.A Jambazi wa haki za watumishi.

yeye ndio aliyepora haki zotee za maslahi za watumishi.
Yeye ndiye aliyesababisha tusipande madaraja.
Yeye ndiye aliyezuia increment.

Dhambi zotee za maslahi ya watumishi ni yeye, aliyejiita kiongozi wa malaika ila CAG akaweka wazi.

#YNWA
 
Tarehe ya leo ilikuwa tarehe ya mwisho kuingizwa kwenye mfumo.
Baada ya muda kufika,wale Maafisa Utumishi watakaoshindwa kukamilisha kuwaingiza watumishi wa Halmashauri zao,ifikapo Jumatatu tarehe 14/6 wawe wamesimamishwa kazi na Wakurugenzi wao.
Mkuu acha utani....hawa jamaa, maafisa utumishi hasa wa Manispaa na Majiji huwa ni Miungu watu, untouchables! Huwa kuna mhimili unawalinda, ndio maana wengi huteuliwa ngazi za juu zaidi nankuwa wakuu mnapanda a wilaya, RAS, nk
 
Moja ya kazi ambazo zinatakiwa kufanywa kwa weledi na kuheshimu sheria,kanuni na miongozo ni uafisa utumishi.
Hapo ndio chanzo cha kuwaona wanajidai na miungu watu ila kimsingi ukifuatilia ni majungu na kutokuelewa kwa kanuni kwa watumishi walio wengi.
Tunaishi nao tunaona wanavyojimwambafai
 
Am so neutral man ..ila hii nchi ina mifumo kandanimizi sana ... Hatutakiwi kuwa na viongozi bora Bali taasisi bora ..ndio shida tulio nayo .... Hata kama una haki ukifatilia wanakupotezea mpaka upate mkuu wa idara mwenye hofu ya Mungu.. Nashukuru nimepanda kwa wakati kila wakati ulipofika .... Kada ambazo mshahara yake inatoka vifungu vya utawala kupanda ni shida wapi wengi mnooo.. Akikosena afisa utumishi mwemye busara ... Ni shida sana ...
Kwanini iwe hivi na wenyewe Ni watumishi wa serikali?? Sio haki asee Kama utawala hautakiwi Bora serikali iajiri walimu na watu wa afya pekee
 
SINGIDA DC pia mkuu watendaji kata na watendaji wa vijiji hawajapandishwa madaraja na Afisa utumishi anajibu nyodo ANASEMA ye hadili na watendaji wa vijiji na wa kata kwani muundo wao wa utumishi Ni tofauti na watumishi wengine nchini
Yupo sahihi
 
Back
Top Bottom