Na ni nchi nzima, sijui wakipata nafasi wanakuwa 'alliens'Maafisa utumishi wengi ni watu wa ajabu sana basi tu.
Acha Ukuda wewe.SINGIDA DC pia mkuu watendaji kata na watendaji wa vijiji hawajapandishwa madaraja na Afisa utumishi anajibu nyodo ANASEMA ye hadili na watendaji wa vijiji na wa kata kwani muundo wao wa utumishi Ni tofauti na watumishi wengine nchini
Siyo wasimamishwe wafukuzwe kabisa, issue siyo kuingiza data. Issue wanaotakiwa kupanda wanajua vigezo ili wakate rufaa? Mchakato huu unakuwaga wa Siri na si shirikishi, ukiuliza kwanini utasikia IKAMA,. Nina umia sana kuona mtu asiyetoa fedha mfukoni mwake anawanyima haki wenye haki kulipwa maslahi yaoTarehe ya leo ilikuwa tarehe ya mwisho kuingizwa kwenye mfumo.
Baada ya muda kufika,wale Maafisa Utumishi watakaoshindwa kukamilisha kuwaingiza watumishi wa Halmashauri zao,ifikapo Jumatatu tarehe 14/6 wawe wamesimamishwa kazi na Wakurugenzi wao.
Unaangaliae ili kuipata hiyo list....???Wanabodi, salaam sana kama ni kweli kuwa hii ndio idadi ya watumishi ambao wameshaingizwa kwenye mfumo mpaka sasa hivi, basi nchi hii tunahitaji maombezi makubwa, pia inaonyesha kuwa baadhi ya halmashauri hawajatuma kabisa hata idadi ya watumishi wanaostahili kupanda. Yaani pamoja na mikwala yote ile ya Waziri wa utumishi Mohamed Mchengelwa bado kuna watu wanambipu. My take, tusubiri vilio vikubwa toka kwa watumishi waliotegemea kuona mabadiliko kwenye mishahara yao mwezi huu wa sita toka halmashauri mbalimbali nchini.
View attachment 1816050
Watabaki kulindana tu.Tarehe ya leo ilikuwa tarehe ya mwisho kuingizwa kwenye mfumo.
Baada ya muda kufika,wale Maafisa Utumishi watakaoshindwa kukamilisha kuwaingiza watumishi wa Halmashauri zao,ifikapo Jumatatu tarehe 14/6 wawe wamesimamishwa kazi na Wakurugenzi wao.
Nakupa hiyo mkuu nenda kajionee mwenyewe watu hawajui kusoma miongozo na wamekalia viti vya kuzunguka Ngoja zoezi lifungwe ndio utajua ukuda huu au ukweliAcha Ukuda wewe.
Lete orodha yenye kuanzia namba 1,orodha uliyoipost imeanzia 40-60Wanabodi, salaam sana kama ni kweli kuwa hii ndio idadi ya watumishi ambao wameshaingizwa kwenye mfumo mpaka sasa hivi, basi nchi hii tunahitaji maombezi makubwa, pia inaonyesha kuwa baadhi ya halmashauri hawajatuma kabisa hata idadi ya watumishi wanaostahili kupanda. Yaani pamoja na mikwala yote ile ya Waziri wa utumishi Mohamed Mchengelwa bado kuna watu wanambipu. My take, tusubiri vilio vikubwa toka kwa watumishi waliotegemea kuona mabadiliko kwenye mishahara yao mwezi huu wa sita toka halmashauri mbalimbali nchini.
View attachment 1816050
Sasa viti vya kuzunguka vina shida gani? Mzee ulitaka watu wakalie vigoda ofisini.Nakupa hiyo mkuu nenda kajionee mwenyewe watu hawajui kusoma miongozo na wamekalia viti vya kuzunguka Ngoja zoezi lifungwe ndio utajua ukuda huu au ukweli
Bado hajanishawishi... Ile wizara ndio kiini cha utendaji wa watumishi wa serikali ambao ni njia kuu ya kufikisha maendeleo kwa wananchiMchengerwa hajaonesha makucha bado mpaka mtu atolewe mfano
ashushwe cheo palepale Halmashauri ili aendelee kuvuna aibuAmtafute mmoja kuwa chambo ili wengine wakae sawa
Nalog off
Waziri angefuatilia hii issue kabla ya deadline kuona takwimu za uingizaji wa majina kwenye mfumo zipo vipi.Hawa maafisa utumishi kwenye halmashauri nyingi ni wabinafsi hawajali kabisa maslahi ya watumishi wenzao .Kuna halmashauri zimefanikiwa kuingiza majina ya watumishi karibia kwa 90% lakini zingine eti 0% halafu mtu anaendelea kuwa ofisini anafanya nini? Aisee hii nchi kwenye baadhi ya vitu inabidi twende kibabe la sivyo kundi la chini litaumia SanaWanabodi, salaam sana kama ni kweli kuwa hii ndio idadi ya watumishi ambao wameshaingizwa kwenye mfumo mpaka sasa hivi, basi nchi hii tunahitaji maombezi makubwa, pia inaonyesha kuwa baadhi ya halmashauri hawajatuma kabisa hata idadi ya watumishi wanaostahili kupanda. Yaani pamoja na mikwala yote ile ya Waziri wa utumishi Mohamed Mchengelwa bado kuna watu wanambipu. My take, tusubiri vilio vikubwa toka kwa watumishi waliotegemea kuona mabadiliko kwenye mishahara yao mwezi huu wa sita toka halmashauri mbalimbali nchini.
View attachment 1816050
Wanabodi, salaam sana kama ni kweli kuwa hii ndio idadi ya watumishi ambao wameshaingizwa kwenye mfumo mpaka sasa hivi, basi nchi hii tunahitaji maombezi makubwa, pia inaonyesha kuwa baadhi ya halmashauri hawajatuma kabisa hata idadi ya watumishi wanaostahili kupanda. Yaani pamoja na mikwala yote ile ya Waziri wa utumishi Mohamed Mchengelwa bado kuna watu wanambipu.
My take, tusubiri vilio vikubwa toka kwa watumishi waliotegemea kuona mabadiliko kwenye mishahara yao mwezi huu wa sita toka halmashauri mbalimbali nchini.
View attachment 1816050
Maelekezo ndani ya maelekezo.Niliwahi kuisikia iyo mkuu kitambo. Waraka unaweza kuuona Na kuusoma vizuri lakini ukifika kwa ma-HRO's unasindikizwa Na maelekezo ya SIRIMtalaum sana lakin pamoja na ubovu wa maafisa utumishi naamini yapo maelekezo kwamba wafanye hivyo wanavyofanya ili ionekane serikali ipo tayari kulipa mshahara stahiki Kwa watumishi wote Ila uzembe wamefanya maafisa utumishi