Maafisa wa kutuliza ghasia waanza kuwashughulikia wanafunzi wanaoandamana kuwatetea Hamas, vyuo navyo vyaanza kuwatimua

gearbox

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2024
Posts
563
Reaction score
1,768
Wiki hii tumejionea baadhi ya wanavyuo wakijaribu kukusanyika kuwaatetea Hamas (ni wanafunzi hao hao wengi walikuwa na furaha siku ya October 7 Hamas walipoivamia Israel).

Maafisa wa polisi wakiwa na vifaa vya kutuliza ghasia (virungu, tasers, bakora) wanaendelea kusafisha kambi zilizowekwa vyuoni kutetea Hamas.

Your browser is not able to display this video.



Your browser is not able to display this video.



Your browser is not able to display this video.


huyu ni Profesaa nahisi alidhani labda sheria hazimuhusu, kakutwa kwenye maandamano, maafisa wametekeleza wajibu wao kiukamilifu.

Your browser is not able to display this video.
 
wanaoandamana Israel hawafikii hata asilimia 0.1 ya waisrael, ni kundi dogo sana, Hata vita ya Uganda kuna watanzania wapo wenye akili kama zako waliipinga
🤣 usifuatilie kwenye magazeti uwe unaangalia habari za kimataifa mara moja moja.
Hali ni tete wayahudi wamemchoka muuaji Netanyahu.
 
Mbona kule Saud Arabia hawaandamani uone watakavyoliwa kichwa na MBS
Kwani wenye takataka inayoitwa demokrasia ni nani? Au wanaojinasibu na "haki za binadamu" ni akina nani?

Sasa kwanini uitaje Saudi Arabia ambayo haina haya maigizo ya demokrasia?
 
Nimecheka sawa hawa walokole wa Kigamboni uwa wanaamini Israel watawapeleka mbinguni kanisani kwa wameweka bendera za Israel😀 kama huyu mlokole yupo Cheka Kigambomi hataki raia wa Marekani waandamane kumpinga bwana wao aendelee kufanya mauaji ya watoto,
 
Vipi Mito ya Pombe Peponi kulewa tu na Beautful eyed Houries mabikira weupe hadi Marrow bones unaziona wapo kama unapotizama negative ya film, bila kusahau ushoga maana kila anayetamani kitu anapewa Bakhesa lazima akugeuze shoga wake, Mudy na Allah wamewadanganya sana alafu Punda chotara (Mule) ndio watawapaisha kwenye Jenah Firdaus
 
Hawa wanafunzi ni vizuri wangeenda kuandamana huko gaza, iran sio kuja kuundamana nchi za kidemocrasia
 
Kwani wenye takataka inayoitwa demokrasia ni nani? Au wanaojinasibu na "haki za binadamu" ni akina nani?

Sasa kwanini uitaje Saudi Arabia ambayo haina haya maigizo ya demokrasia?
Kama wanasupport ugaidi wa wapalestina wadhibitiwe mapema kabisa. Wanaleta vurugu vyuoni badala wasome
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…