Maafisa wa kutuliza ghasia waanza kuwashughulikia wanafunzi wanaoandamana kuwatetea Hamas, vyuo navyo vyaanza kuwatimua

Maafisa wa kutuliza ghasia waanza kuwashughulikia wanafunzi wanaoandamana kuwatetea Hamas, vyuo navyo vyaanza kuwatimua

Mzee Kigogo hiyo propaganda ya human shield hata baadhi ya ndugu zako wameanza kuikataa. Huwezi kuuwa watoto wengi kuliko watoto wote waliouawa katika migogoro yote duniani kwa miaka minne ndani ya miezi sita ukasingizia "human shield". Makaburi ya halaiki yamegunduliwa na miili baadhi ikiwa imefungwa mikono, hiyo siyo "human shield". Wanaouawa West Bank sio "human shield"

Halafu kuonesha kuwa hawa ni mashetani waliwaua baadhi ya raia wao siku ya Oct 7 mwaka jana.

Kasome pia Hannibal Directive uone kuwa hiyo propaganda ya kuwa eti wanawajali raia wao ni uzushi, jumlisha na walivyokuwa wakiwaua baadhi ya raia wao Oct 7 na namna wanavyorusha mabomu hovyo Gaza wakijua kabisa kuna raia wao wengi humo.

Mazayuni ni mashetani.
 
Back
Top Bottom