Maafisa wa kutuliza ghasia waanza kuwashughulikia wanafunzi wanaoandamana kuwatetea Hamas, vyuo navyo vyaanza kuwatimua

🤣
 
Wee Kafir acha uzushi, hao.wanatetea haki
 
Usipotoshe ukweli. Hawaandamani kuiunga mkono Hamas bali wanaandamani kupinga mauaji ya raia wasiokuwa na hatia wa Palestina.
 
Kama wanasupport ugaidi wa wapalestina wadhibitiwe mapema kabisa. Wanaleta vurugu vyuoni badala wasome
Maandamano hayafai katika hali yoyote. Ila tunaangalia na kushangazwa na undumilakuwili wa wanaojiita baba wa demokrasia. Nyinyi si ndio mnawatumia kama kiigizo katika demokrasia?

Hawa watu hawatakiwi kutulecture chochote kuhusu demokrasia na haki za binadamu. Na sijui huwa mnadanganywa nao na kipi!

Mauaji ya kimbari ya Gaza yanawafungua macho baadhi ya watu juu ya unafiki na udanganyifu wa demokrasia na kile kinachoitwa haki za binadamu.
 
 

Ile mahakama ulikuwa unasema South Africa inawahukumu Israel iliishia wapi? Naona leo mwarabu wa Vingunguti unamcheka Mlokole wa Kigamboni kweli dunia inazunguka..... 🤣 Chizi Maarifa njoo umwone ndugu yako huku.
 
wanaoandamana Israel hawafikii hata asilimia 0.1 ya waisrael, ni kundi dogo sana, Hata vita ya Uganda kuna watanzania wapo wenye akili kama zako waliipinga
Huna hata unachokijua endelea kwenda kukanyaga mafuta kwa mwamposa uwe tajiri
 
Ile mahakama ulikuwa unasema South Africa inawahukumu Israel iliishia wapi? Naona leo mwarabu wa Vingunguti unamcheka Mlokole wa Kigamboni kweli dunia inazunguka..... 🤣 Chizi Maarifa njoo umwone ndugu yako huku.
Yani wewe kweli hujui kinachoendelea dunisni hujui israel analalamika kuhusu dunia kumgeuka, marekani kujiosha anawawekea vikwazo baadhi ya maafisa wa israel na israel imepata taarifa kwamba icc inaandaa arrest warrant kwa netanyahu na viongozi waliohusika na vita
 
Uhuru una mipaka. Hakuna uhuru uso na mipaka
Sasa wewe upo Uyole huko familia nzima mnaumwa UTI sungu unapinga maandamano ya raia wa Marekani daaah😁 yaani wewe mlokole una uchungu kuzidi Waisrael ambayo nao wanaandamana Tel Aviv na miji mingine hii dunia ina maajabu sana😀
 

Mimi sina porojo wewe mlokole unaleta ushabiki mandazi mabwana zako huko hali tete 😀

View: https://x.com/qudsnen/status/1784550716763173000?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 

Wewe hujui kinachotokea kiuhalisia. Hayo si mapya kwa Israel. Labda ni dogo wa 2000s. Israel Marekani et al wanafanya kila kitu calculated. Hivyo vikwazo n.k ni maigizo tu kwenye media. Hayajaanza leo. Na Israel si unaona ambacho imekifanya Huko Palestine? Si tulisema Russia wataingilia. Wameingilia? Iran tulisema wataingilia wameingilia? Yamebaki malalamiko na nyuzi zile ambazo tulikuwa tunaanzisha sasa zimepoa. Jamaa wanachapa tu huko. Kilio kimegeuka wanaua watoto. So huko Palestine watu wazima wote wamekufa? Kila siku tunabadilisha chorus kwenye wimbo ule ule....
 
wanaoandamana Israel hawafikii hata asilimia 0.1 ya waisrael, ni kundi dogo sana, Hata vita ya Uganda kuna watanzania wapo wenye akili kama zako waliipinga
Hao hawapo Israel ni Wapalestina wanaoitetea Hamas huko nje walikopewa hifadhi.
Hiyo lugha ni Norway au Denmark hapo.
 
Sasa wewe upo Uyole huko familia nzima mnaumwa UTI sungu unapinga maandamano ya raia wa Marekani daaah😁 yaani wewe mlokole una uchungu kuzidi Waisrael ambayo nao wanaandamana Tel Avi na miji mingine hii dunia ina maajabu sana😀
Uyole ni wapi? Nipo Buguruni kwa Mnyamani hapa karibu na msikiti wa Kundecha. Wewe upo Vingunguti familia nzima inaumwa ukoma na utapiamlo unasubiri tende za ramadhani unashabikia mauaji ya israel yakigeuzwa kwa waarabu unaumia ustaadhi na ndizi zako kwenye kanzu ukitafuta wapi kuna ubwabwa. Sheikh ubwaba. BADO HAMJASEMA. MPAKA MSEME.
 
Uharo mtu bora hata usingeandika😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…