EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
Akizungumza Jumanne, Meya wa Mji wa Luhansk, Serhiy Haidai amesema mapigano yanaendelea katika eneo la mashariki wakati ambapo vikosi vya Urusi vinajipanga upya baada ya kuongeza shinikizo na kusonga mbele kwenye miji miwili. Haidai amesema kiwanda cha kemikali cha Azot ndiyo pekee katika eneo la Sievierodonetsk ambacho kinadhibitiwa na vikosi vya Ukraine.
MATANGAZO YA MOJA KWA MOJA YA TV
Maafisa wa Luhansk wamesema kuwa vikosi vya Urusi vimeingia katika eneo la viwanda la Sievierodonetsk baada ya kuanzisha mashambulizi makubwa.

Raia 300 wamejihifadhi Azot
Naibu Waziri Mkuu wa Ukraine, Iryna Vereshchuk amesema kuna takribani raia 300 waliojihifadhi katika kiwanda hicho. Jana Ukraine ilikiri kwamba imepoteza udhibiti katika kitongoji cha Metiolkine kilicho katika eneo na Sievierodonetsk.
Ama kwa upande mwingine, Urusi imesema Wamarekani waliokamatwa nchini Ukraine walikuwa ni mamluki waliowapiga risasi askari wa Urusi na hawafungamani na mkataba wa Geneva.
Shirika la RIA limeripoti hayo Jumanne likimnukuu msemaji wa Ikulu ya Urusi, Dmitry Peskov akisema Wamarekani hao wanapaswa kuwajibishwa kutokana na uhalifu walioufanya. Peskov amesema pia mchezaji wa mpira wa kikapu Mmarekani Brittney Griner, aliyekamatwa nchini Urusi tangu mwezi Februari, anakabiliwa na mashtaka ya jinai.
Mapigano makali yaendelea mashariki mwa Ukraine
Na Grace Kabogo| saa (0) nyuma

- A Kremlin spokesperson claimed the Geneva Conventions for the protection of prisoners of war do not apply to two Americans captured in Ukraine, accusing them of being "involved in illegal activities."