Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uje lakini usisahau KYMkuu nitunuku hicho kijambio ufurahie zaidi
Pentago yalalamika kuwa Russia anaiangamiza miji ya Ukraine kwa kutumia makombora ya masafa marefu. Hadi kufikia jana (siku ya 19 ya vita hii) zaidi ya makombora 900 ya aina na ukubwa tofautitofauti yamevurumishwa na majeshi ya Russia nchini UkraineWiki ya tatu hii hizo silaha bado hazijaikamata Kyiv
ulaya yote mpaka marekani mafuta yamepanda beiTuombe Mungu vita viishe,uchumi wa dunia utatikisika sana kwa hii vita...
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wanaintelijensia wa Marekani wamesema kuwa Russia inatumia silaha za ajabu nchini Ukraine.
Wanainteligensia hao wamebaini kuwa makombora ya balistiki (Iskandar-M short range ballistic missiles) yanayovurumishwa na majeshi ya Russia nchini Ukraine yameongezewa vionjo au vikorombwezo fulani vipya, tofauti na hapo zamani yalivyozoeleka.
Vikorombwezo hivyo vigeni, hutolewa na makombora hayo pale yanapotambua yametagetiwa na mifumo ya ulinzi wa anga wa adui. Vikorombwezo hivyo huzivuruga rada za mifumo ya ulinzi wa anga ya jeshi la Ukraine (air defense systems), na pia huyachanganya makombora yanayotumwa (na Ukraine) kudungua silaha hizo.
Vikorombwezo hivyo vipya ndivyo vinavyopelekea mifumo ya ulinzi wa anga ya jeshi la Ukraine na silaha za kulinda anga hilo kushindwa kuyadungua makombora ya Russia.
======