Maafisa wakuu wa IDF wanazidi kuishauli Serikali iwaachie waiangamize Gaza!!

Maafisa wakuu wa IDF wanazidi kuishauli Serikali iwaachie waiangamize Gaza!!

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Maafisa wakuu wa IDF wanazidi kuishauri Serikali iwaachie waiangamize Gaza, na walitoa taarifa ifuatayo mwishoni mwa wiki:

“Toka vita vianze Gaza tulikuwa tumeichukua lakini Serikali wakaingia makubaliano na magaidi wa Hamas tukaondoka kwenye maeneo tuliyokuwa tukiyadhibiti baada ya makubaliano kuvunjika imebidi tena kupigana upya kudhibiti maeneo tuliyokuwa tunayadhibiti hapo awali, Kila wakati tunaporejea katika hatua hii damu za watu wetu zinamwagika. Sasa tunaiomba serikali - uamuzi lazima ufanywe, ama tuharibu Gaza au tuondoke maeneo haya. Damu ya wanajeshi wetu haipaswi kumwagika bure."

Wanajeshi wa Israel wako tayari na wako tayari kupigana hadi mwisho. Lakini hawako tayari kuketi katika hali hatari huku wanasiasa wakibishana juu ya masuluhisho yasiyotekelezeka ya kidiplomasia ambayo hatimaye yatafuta kazi kubwa ambayo IDF imepata katika uwanja wa medani.

“ My take”-Binafsi nawaunga mkono wanajeshi wa Israel kwa kazi nzuri wanayoifanya huko Gaza, tatizo ni hawa wanasiasa wanaofifisha juhudi za IDF kwa kukubali kuweka usitishwaji wa mapigano kunakoipa Hamas uwezo wa kujipanga upya na kufanya propaganda za kuvaa Combat mpya barabarani kipindi cha usitishwaji mapigano. Serikali iamue moja kuangamizwa Gaza au wawaachie Hamas huko Gaza kitu ambacho hakiwezekani aslani!!
 

Attachments

  • IMG_1076.jpeg
    IMG_1076.jpeg
    341.7 KB · Views: 36
  • IMG_0495.jpeg
    IMG_0495.jpeg
    150.5 KB · Views: 30
Hao magaidi wapigwe mara moja vita viishe wamevumiliwa vya kutosha.
 
✅ | Israeli terror Army Alarmed by Shift in Resistance Tactics in Gaza:

• Israeli media and the army have reported a clear change in the combat tactics of Palestinian resistance forces in the Gaza Strip.

• Amir Bohbot, a military analyst for the Hebrew-language site Walla, wrote that there are growing warnings within the Israeli army about the intensification of resistance ambushes in Gaza.

• Bohbot added that security and military agencies are witnessing a clear shift in Hamas’s methods of warfare, with the group’s forces adopting new, bold tactics and embracing the principle of surprise, making field confrontations even more difficult.

• He stated that the army is concerned about the possibility of repeated attacks similar to those seen in recent days — special operations relying on surprise that have so far resulted in the killing and wounding of several Israeli soldiers.

In other reports, Israeli terror forces have observed the emergence of new guerrilla and urban warfare tactics both in the West Bank and Gaza. Fighters have been seen using damaged areas and rubble for camouflage, hiding among the ruins to launch surprise attacks against stationed Israeli soldiers.

The frequent and strategic use of tunnels — and the ability to conceal them even from special forces — has drawn significant attention. Resistance fighters have stunned Israeli intelligence; they have adapted beyond dependency on their top leaders like Muhammad al-Deif and Yahya Sinwar. Hamas has evolved a new decentralized command system: even in the absence of top leadership, fighters maintain logical coordination and operational discipline.

Israeli forces have failed to decode even a single faction’s internal communications. Moreover, the ethical conduct of resistance fighters during combat has surprised enemy forces and their semi-independent analysts, revealing a level of battlefield discipline and resilience they had not expected.

[We remember when Shaheed Haniyeh (r) once said that in the coming years, the armies and military institutions of the world would study and teach our skills as their own, and they would seek to understand them]

Live Long Resistance!

🔹
@enemywatch
 
#Enemy_Media

"Israel Hayom" Hebrew Newspaper:
The "Israeli" army is preparing to call up reserve forces to expand combat operations in the Gaza Strip as clashes intensify and a number of soldiers are killed and wounded.

#Military_Media
 
Back
Top Bottom