Omulasil
JF-Expert Member
- May 5, 2015
- 8,015
- 10,269
Serkali haijakuzuia kuvaa Barakoa, wala kufanya social distance ukiona mtu anapunguza distance sogea zaidi,.
Yaani swala la kuvaa barakoa nalo zitumike hela za kodi kuja kukuvalisha au kupiga na kuwekwa ndani.ACHA UJINGA
Chanjo ni hiari. Nenda uchanjwe hujazuiwa acha kutafuta mob ili iunge mkono kile sayansi imekuaminisha fanya.
Matamko ya Kiki si kipindi chake, unafukuza Chinga bila kuweka mazingira ambayo akafanyie wee KIONGOZI hazipo kichwani.
Wale waliodhani Mama ni mtu wa kiki WATULIE atakutumbua KWELI hatanii unamuona Mpole halafu umuna mu understimate, DED utapigaje raia hiyo ni sheria gani angewaeleka mahakamani, tunahubiri utawala wa Haki na Sheria halafu unakuwa na double standard kivipi?
Kuhusu kupima ni Dola 100 kapime COVID hujazuiwa.
Kama unataka Mass Testing kwa Serkali lipia gharama uone kama hatutapima.
Jikinge na Covid 19, fuata maelekezo, acha mbwembwe na siasa.
Swala la Takwimu ni dai la IMF ili itoe hela, kama unaona ni busara basi wapike data tule MKOPO ila utaulipa baadae.
Ogopa matumizi yasiyo lazima