Maagizo ya machinga na Corona kupuuzwa nini chanzo? Ni kivuli cha Magufuli?

Kwa sasa mazgizo ya korona ni kuwarizisha mabeberu.....!
Very sure...

Namna yetu ya kupambana na corona imekuwa na ufanisi mkubwa kuliko hizi namna wanazopambana kuiga toka kwa ambao bado wanateswa na corona...

Katika hali ya kawaida wao ndo wanapaswa kuiga namna yetu ya kupambana na corona, na siyo sisi kuiga namna yao.
 
Kabisa... Namna yetu ya kupambana na corona ndo the best... Kama taifa tuna tamaduni zetu, tuna ishi katika mazingira yetu... Tuna namna yetu ya kupambana na majanga... Hatuwezi nakili style ya maisha ya ughaibuni na kukomaa nazo huku kwetu.
 
Ukiona hivyo ujue hatuna Corona... kama watu wanadunda tu bila wasi wasi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…