Maagizo ya Viongozi wakuu wa Nchi kwa Vyombo vya kiuchunguzi

Maagizo ya Viongozi wakuu wa Nchi kwa Vyombo vya kiuchunguzi

Rusumo one

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2018
Posts
3,458
Reaction score
4,283
Habari za asubuhi wadau.
Kuna jambo naona Viongozi wetu wa kitaifa wanapoaamua kufanya maamuzi kwa mambo ya kitaifa juu ya wizi na ufisadi kwa Halmashauri Fulani isiishie kuwa timua tu watumishi wa Halmashauri Bali hata watumishi wa vyombo vya uchunguzi maana ni watu wameishi pamoja na hao majizi nao iangalie namna ya kuwahamisha vituo wasiishi kwa mazoea, ref maagizo ya PM KIGOMA,UVINZA,KATAVI,RUFIJI etc. Detectives wa vyombo wanazoeleka kazi haziendi kwenda MTU 3 yrs Wilaya ndogo kama Uvinza na Buhigwe.Ushauri uchunguzi uende parallel na kuhamisha watumishi wa vyombo vya uchunguzi waliopo eg Polisi,Tiss na PCCB wamezoeleka mno.
 
Mkuu wa majizi👇🐒🐒🐒
 
Back
Top Bottom